LETICIA's SENDOFF PARTY!!!

BRIDE                          ::LETICIA BHOKE
EVENT                         ::SENDOFF PARTY
VENUE                         ::MARATHA HALL
COLOR                         ::BLUE, YELLOW, & ORANGE
MAKEUP                     ::GLAM-BOX

DRESSED BY              ::BEAUTY POINT
 YES! NI SENDOFF PARTY YA BINTI MREMBO MWENYE KUPENDEZA KUANZIA JUU MPAKA CHINI, MMMH! MWAKE KILA KITU, KAMA ANAVYOPENDA VINZURI BASI HAPA PENDEZA SANA ZAMA NDANI KUONA ZAIDI.......

MCHUMBA JACKSON
MCHUMBA NA MPAMBE WAKE, SIO LAZIMA KUVAA SARE EEH!!!
YES WAKICHEZA KWA FURAHA....!!!
 ZAWADI.....
 LETICIA AKITUNZWA KWA FUJO

 ALICHEZEAJE MIHELA!!!!
 MARAFIKI WAKIMSHOWER MONEY...!!!

Post a Comment

11 Comments

 1. waoooh so lovely

  ReplyDelete
 2. so nice walipendeza sana.

  ReplyDelete
 3. ILA SIJAONA ZA MSOSI

  ReplyDelete
 4. Dada umependeza sana na yellow yako. Yaani hukutaka kubadili uzuri wako kwa derecorations nyingi

  ReplyDelete
 5. Umependeza sana !!!

  ReplyDelete
 6. Ulipendeza sana mdada

  ReplyDelete
 7. uwii huyo mkaka mbona mzuri hivyo

  ReplyDelete
 8. Ulipendeza sana mdada,hongereni sana

  ReplyDelete
 9. nimeipenda sana Jack, congratulations. Hongera fiwi wa ukweli

  ReplyDelete