LUCKY COUPLE WINS A NIGERIAN DREAM WEDDING!!!

Hii ndio Harusi iliyoshinda kipindi cha reality show ya "MY BIG NIGERIAN WEDDING" season-1 winners Yemisi & Yomi "My Big Nigerian Wedding" ni reality TV show & mashindano ya Harusi, waandaji ni WED Expo. Yemisi & Yomi waliingia kwenye shindano hilo wakiwa na wengine 700, baada ya kupigiwa kura na kuingia kwenye grand finale, walifanikiwa kuibuka washindi, they walk-off with a wedding & a luxurious honeymoon at Burj Al Arab Hotel in Dubai.
Siku Alhamis 17th & Ijumaa 18th July, washindi walikuwa na shughuli mbili za harusi yao, traditional and white wedding, Yemisi alivaa nguo nne, waalikwa walipata muda wa kucheza mziki, kitu kingine kilichopendezesha harusi yao ni flower arrangements na wedding cake ya ngazi-5 yenye rangi ya pink. Haya wadau hao ni Lucky Couple naweza kusema....!!! tungojee season-2 zama ndani kuona picha zaidi ya Yemisi & Yomi

Natural hair....!!!!
1st dress
 5-Tier pink wedding cake
 Decor...////
Flower arrangements...!!! inanogesha shughuli hapa Edna wa Harusinzuri anapaweza sana follow insta-page "harusinzuri"
 Wamezungumzia muda wa kucheza mziki kwenye harusi, yes nami nakubali MC inabidi mpange na wenye shughuli na kupunguza programme zinazojirudia ili muda wa kucheza upatikane...
2nd dress
wameongelea nguo ya bi harusi pia inahusika eeeh!! ni kweli kabisa bi harusi kupendeza ni muhimu make sure unavaa nguo imekukaa sawasawa I mean size yako na uwe na muda wa kufaanya selection ya nguo zako.
Traditional Wedding
3rd dress
4th dressPHOTO CREDIT::MUNALCHI


Post a Comment

2 Comments

  1. wangeazaje kukosa hii tuzo kwa mfano!??
    wamependeza sana saaaana, nimemependa bi harus she z simple and natural.

    ReplyDelete
  2. usicheze na pesa !!!!!!!

    ReplyDelete