ONJA:: ANITA's KITCHEN PARTY @ DANKEN HOUSE!!

 HAYA HAYA WADAU KAMA KAWAIDA YETU WEEKEND HII MAMBO MAZURI SANA NI KITCHEN PARTY YA ANITA HAPO DANKEN HOUSE, HAPANA CHEZEYA KAMATI YA UKWEE'E KUANZIA DECOR.....!!! WAMETISHA NI YULE YULE MWENYEKITI "BOSS LADY" YUKO JUU VIBAYA SANA, KUSHINDANA NAYE JIPANGE SANA MWANAWANE..!!!
follow "MASHUGHULIBLOG" INSTAGRAM PAGE, PAPO KWA HAPO UJIONEE YANAYOENDELEA JIJINI....

Anita dressed by J&M Virgo Boutique, you will never go wrong with them....!! wapo mikocheni kwa warioba
 Cake ni balaaa Monica Makundi...!!
 Anita na dada zake...!!!!
 Boss Lady, Lilian Karamuna Chairlady yeye ni action done...!!! hana misemo...!!
 Wanakamati na swaga za velvet kama Naija...
Decor...///
Carnation Flowers....!!!!
 Zawadi hizooo!!! 
 Nyota Abdallah in the house..!!!
 
Da Florida katuzwaje......!!!
 Angel, Rose-Chairlady & friend
 Shilla, Mishy & Umi Kibasa ndani ya TZ
 Anna, Salma & Nyota
 Getu, Shilla, Lilian Bossy Lady & Umi Kibasa
  Watu pendeza kwa sana....!!!
 Jack, Ade, July &........
 usiseme hujatuona eeh!!!
 Mama, Anita & Florida
 MC Columba, & tona & Teta Aunty....
 Anita & her sisters
 Mishy, Getu & Shilla
 Hidaya Kazirahabi & friend, wakwe
 Mama na mwana
 Twala raha zetu sijui we mwenzetu
 sisters love
 Lilian, Cheni & friend
sisters

Post a Comment

7 Comments

 1. Shughuli za hawa watu SALUTE!!!!

  ReplyDelete
 2. Umependeza Anitha

  ReplyDelete
 3. Beautiful Anitha

  ReplyDelete
 4. Aisee imependeza balaa, kamati ya maandalizi si mchezo kazi mnaiweza

  ReplyDelete
 5. anitha muhazi na ndugu zako mmetendea mtoto wa kaka yenu kagenyi vibaya na mungu atawalipieni yule binti ni yatima hana baba wala mama nyie ndio dada wa baba yake mliobakia mlichofanya mungu atawalipia

  ReplyDelete
 6. BOSS LADY UKO JUU WAKUACHE MIAKA MIAMOJA,WATASONYAJE AAAH AAH

  ReplyDelete