ONJA:: HAPPY's SENDOFF PARTY @ MIRADO HALL!!!!

 HUWEZI AMINI HAPPY AMEOKOKA, KUOKA SI USHAMBA AMEPENDEZAJE LEO, HAPANA CHEZEYA FAMILIA YA SILAYO WAKO JUUUU!!!! NI SHIIIIDA....!!! NIMEKUONJESHA MDAU KAA MKAO WA PICHA ZA UKWE'EE....!!

 HAPPYA AKIINGIA MIRADO HALL
 HAPPY's SISTER SHE IS SO NICE
KAKA NA MCHUMBA, MASHALLAH NAWAOMBEA DUA TUKACHEZE NGOMA EEH!!!
 CONFIDENCE LADY HAPPY SILAYO!!!!
 MCHUMBA NANI HAPA...!!!
NEEMA MKUREGENZI WA KAMPUNI FULANI, YEYE AMENIAMBIA DESIGNER WAKE NI EVE COLLECTION TU...!!!

Post a Comment

1 Comments