ONJA::LETICIA's SENDOFF PARTY!!!

 SINA LA KUSEMA KUHUSU HUYU BINTI MAANA KAFUNIKA KUANZIA KITCHEN PARTY AND I'M SURE HATA KWENYE RECEPTION MAMBO BAM BAM HAPANA CHEZEYA BINTI HAKIJIPENDA HUWA HAKOSEI...!!!

 UNAONAJE HII COUPLE WAMELANDANA EEH!!
 LETICIA AKIWA KWENYE BANNER YAKE...!!! MASHUGHULIBLOG  TUNATENGENZA BANNER ZA EVENT YOYOTE ILE CALL US NOW +255655426100
 LETICIA NA MAMA YAKE
MAMBO NI NAIJA TU

Post a Comment

4 Comments

 1. NIMEWAPENDA SAANA. SIMPLE BUT SURE. CONGLATULATION.

  ReplyDelete
 2. Sasa hiv unaanza kuboa hellen tangu useme unatuonjesha leticia sendoff party ni muda sasa.plzzz we need to see her how she rock coz she is so beautiful.I cant wait any more

  ReplyDelete
 3. POLE MDAU WANGU SABABU ZA KUCHELEWA KUPOST ZIKO NJE YA UWEZO WANGU, HATA MIMI NATAKA KUWALETEA PICHA NZURI KWA SBB LETICIA SHE ROCK!!!

  ReplyDelete
 4. wenyewe weusi tiii lakin wametoka bomba.....proud to be an african woman...mkorogo sio dili

  ReplyDelete