TABU'S KITCHEN PARTY!!!!!!!!!

Bride           ::Tabu
Event           ::Kitchen Party
Makeup       ::Glambox
Venue         ::Mango Garden
Colour        ::Green, Pink, Red & Yellow White
Cake           ::Tambaz
MC             ::Jamila Kitmtim
Caterer       ::Yahya Caterer 
Tabu's kitchen party, ng'aring'ari hapana chezeya mambo ya wana wa jiji, hina imenogaje, yote haya ni hapo  mango gardeni zama ndani kuona zaidi....

MC Jamila akiiwakilisha vyema kazi yake
Decor..//Mapambao
Zawadi
 Cake
 Tabu Akiingia ukumbini
Nyuso
Joha & Nuru Mwene
Mary & shariffa
Rahma & Arafa Tamba
Mama na Mwana
Shariffa, Tabu & Jamila
Joha kabotoka pendeza sana

Rahma Kismat & friends
Tabu akipewa zawadi
Bibi akitoa zawadi
Kwanza alianz akumtunza mswala na tasbih
Bibi akimpa zawadi mjukuu
Somo akitunza
Joha kabotoka na kampani yake akienda kumtunza binti yake Tabu
Fridge mpyaaa!!!
Mwanaisha Massanga akimtunza Tabu
Jamila na Shariffa wakimtunza Tabu

Jamila & Shariffa Kavu baada ya kumtunza Tabu
Chakula
 Red Carpet

Post a Comment

2 Comments

  1. Sherehe nzuri na biharusi pia mashaallah lakin jamani ni vizuri tukawapa watoto wetu majina mazuri.

    ReplyDelete
  2. Beautiful! Asante Mashughuli kwa blog nzuri, huwa nawaona marafiki zangu wengi tulio poteana kwa miaka mingi! Kama kwenye hizi picha nawaona watu wengi wa mtaa wa nyamwezi K/Koo ,miaka hiyo ya 1999 and 2000...kwenye picha ya 59 au 60 kama sijakosea ,namuona shoga yangu Salama akiwa na Eshe (Mama Kantona) ni miaka mingi imepita sijawahi a wallah! Salama au Eshe ,kama unasoma hii blog please nitumie ni email zenu jamani, mmependeza saaana! Asante Mashughuli

    ReplyDelete