CATHERINE's KITCHEN PARTY!!!!

Bride                     ::Catherine
Event                     ::Kitchen Party
Makeup                 ::Triple D Saloon
Venue                    ::Camp David Hall –Tegeta
Décor                    ::
Colour                  ::Red, Yellow, Purple & hot pink
Cake                     ::
 MC                      ::Zimpopapopa
Ni kitchen party ya Catherine hapo Camp David Hall Tegeta, mambo yalikwivaje...!!! zama ndani uwaone kina mama wa Tegeta walivyochangamka

MC Zimpopapopa
Catherine akiingia ukumbini
 Mama mdogo Faraja akimpokea binti yake
 Mama mzazi akikaribisha waaalikwa
Utambulisho
Decor....///Mapambo
Zawadi
Cake
Champagne
Burudani
Zawadi
Alianza mama kupeleka kapu lake
Kamati ikienda toa zawadi
Kamati ilianza kukabidhi kitanda
Mwenyekiti mama Mrema akiendelea kumkabidhi Catherine zawadi zake

Catherine akiwashukuru wana kamati
Faraja akitunzwa...
Mama akifutwa na jasho
Faraja akimkosha mama mzazi
Faraja akikoshwa kwa mataji ya pesa
Faraja baada ya kuvikwa Mataji ya pesa kama million moja hivi...
Shostitos wake Catherine wakimtunza
Bibi akimtunza mjukuu wake
Faraja akitoa zawadi za wanja kwa waalikwa
Mama mzazi akiwapa zawadi mdogo wake Faraja na mama yake mzazi
Faraja akiwapa zawadi mama zake na bibi
Catherine akiwashukuru waalikwa pamoja na mama yake mdogo Faraja
Chakula
Nyuso
Mama mzazi wa Catherine
Faraja mama mlezi wa Catherine
Mama Mrema Mwenyekiti wa Kamati
Catherine & odo Faraja
Catherine akiwa na mama zake
Mama Mrema & shostito
Red Carpet

Post a Comment

3 Comments

  1. SAFIII, PENDEZA CATHERINE MAFANIKIO MEMA MWANANGU, FARAJA HONGERA MAMA KWA MALEZI

    ReplyDelete
  2. Sherehe ilikuwa nzurii hongera catherine

    ReplyDelete