EDDY & BEATRICE RECEPTION WEDDING!!!

Bride                     ::Eddy Mngara
Groom                  ::Beatrice Kangwa
Event                    ::Wedding Reception
Venue                   ::Mirado Hall
Cake                     ::Happiness Cake
Color                    ::Hot Pink, Yellow & Aqua Blue
Makeup                ::Glambox
LEO BEATRICE & EDDY WAMEKUWA KITU KIMOJA!!BAADA YA KUFUNGA NDOA YAO WALISHEREHEKA NA FAMILIA NA MARAFIKI, KUONA ZAIDI BOFYA...

 
Maarusi wakiingia....
Wanakamati na African Print Shirt
 Wazazi Wakiongea
Decor....///Mapambo
Cake & Champagne
 Burudani
 

Post a Comment

4 Comments

 1. wamependezaaaaa woteeee

  ReplyDelete
 2. wamependeza sana kiukweli mungu awabariki wanandoa , ndoa yao idumu na wapate matunda yaliyo mema

  ReplyDelete
 3. Pendeza sana maharusi Mungu ailinde ndoa yenu iwe paradisoo

  ReplyDelete
 4. woow looking good

  ReplyDelete