GLADY's KITCHEN PARTY!!!!

Bride                     ::Glady Shogholo
Event                    ::Kitchen Party
Venue                   ::hellenic Club
Cake                     ::Grace’s Cake
Color                    ::Makenzi Colors
Makeup                ::Lulu Saloon - +255 713 295 364
Caterer                 ::MK Catering - +255 784 953 364
Mc                        ::Mc Kide - +255 765 902 402
Yes!! ni kitchen party ya Glady, mashallah black is beauty eeh!!!, palikuwa hapatoshi hapo Hellenic Club ni wale wadau wangu wa ukwee'e maagent wa bandari kama nawaona vile, kitenge cha makenzi chatamba, bi arusi mchangamfu na mwenye confidence, hapana chezeya shangazi ake Glady, Mariam muke ya bwana Masoud uko juu, theme ile ile kunywa,kula & kucheza ndio mwendo
kitu kinzuri ni kwamba camera haikupoteza  
uhalisia wa rangi yake
 
 atleast tubadilike na pozi badala ya kusimama kushangaa kiatu ibadilike, nimeichokaje...!!!!
Pozi ya shosti umeiona???
leo naanza na zawadi, Glady alipata zawadi za ukwee'e zinzosomeka, chezeya shangazi mariama muke ya masoud, somo wa ukwee'e
Furniture Centre wanakupa 5 years guarantee
 Hizi ni zawadi Glady alitupa mdau,kazi nzuri ya Silmal Investment hawa ndio wale wenye card za ukwee'e East Africa, usihadaike na card zinazoshusha thamani ya shughuli yako, sasa wanakufungia zawadi katika mfungo huu umeona maridadi eeh, kinzuri kula na mwenzio shughuli ya ukwee'e hii SILMAL wamehusika
Unajua ndani kuna nini? watu wanajipanga eeh!!
Menu yao printed by SILMAL
Cultured Invitation Card ni BIG Printers SILMAL
Glady akiingia ukumbini...
 Decor///Mapambo
Hapana chezeya yeye MC kide 
Mc Kiatu mama ya Kibajaji akimpa kampani shostito wake wa ukwee'e
Mwenyekiti akitukaribisha
Mwari akifundwa lazima afichuliwe...!!!
Burudani
Hanifa akitupa raha
 
 Misambano in the house suprise za kumwaga
 Mama Dulla akimtunza dollar Misambano uko juuu!!!
Nyuso
Shangaza la ukwee'e, Mariam
Salma Merani & friends
Mwagumbo, Rose & Kiede
MC-Kide kazi na dawa
 Getu & friend
Bi Arusi wangu & friends
Joyce & Pendo
Bi arusi wangu na mamkwe
Mama mzaa chema
 Mtu na shangazi ake
Mama, Mariam & binti yao
 Mama na mwana
 Masha & Friends
Mama mbaga & Mariam
Zawadi & Matunzano
 Glady alisema mie ndio naanza kutoa zawadi kwa sbb nawapenda sana 
 Alianza mama mzaa chema kupeleka kapu lake
 Mama mzazi akiongea na binti yake
 Mariam akimkabidhi Glady zawadi
Alianza kumkabidhi Bedroom Set
  Shangazi akamwambia bado sijamaliza eeh
 Geepars Gas Cooker
Kabati lenye vyombo vya ukwee'e
 Coffe Table
 Fridge
 Flas Screen
Big hug kwa Shangazi ake
 Shangazi wa ukwee'e  Mariam akifutwa jasho
 Rose akienda kumfuta jasho Mariam
shower money, money talks
 Mariam akikoshwa na mwari wake
 Mwari akakabidhi washing mashine kwa somo
 Watu wangu wa ukwee'e maagent wa Bandari wakimkosha Mariam
 Mama Dulla & MC kiatu mama ya kibajaji wakienda kumfuta jasho Mariam
  Wari wapya wakienda kumtunza somo wa ukwee'e
MC Fide akimtunza Mariam, chezeya udugu hazina yetu
 Wanakamati wakienda kumkabidhi Glady Sofa Set
Mwenyekiti wa kamati Rose akikabidhi sofa zaukwee'e
Shangazi Mariam akipeleka zawadi
 Akimkabidhi mwanaye sanduku
 Glady akiwapa zawadi mama mzazi na shangazi zake
Madikodiko toka MK Catering, wao wanasema hakuna kugombea nyama 
Red Carpet
 


Post a Comment

2 Comments

  1. dada marium upo juuuuu
    pendeza sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
    Da Lily ukosei kuvaaa mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Tishaaaa sanaaaaa,Nasra umependeza na lemba lako na makeup imetuliaaa kweli umebarikiwa my dada

    ReplyDelete