IT TOOK ME 26 YEARS TO GET THIS FABULOUS, WEMA's BIRTHDAY PARTY!!!!

Event                              ::Birthday Party
Venue                             ::Terrace Lounge
Color                             ::White & Pink
Makeup                          ::Glambox
Cake                              ::Party-box
Décor                            ::Party-box
Dressed-by                   ::J&M Virgo
YES NI STAR WEMA SEPETU ASHEREKEA SIKU YA KUZALIWA NA UJUMBE "IT TOOK ME 26 YEARS TO GET THIS FABULOUS" AKIWA NA ZAWADI SIO ZA KAWAIDA, HUKU MASHOSTITO WAKIMSHOWER WEMA MAHELA....!!!!
PHOTO-CREDIT:: BESTIZZO BLOG

CAKE ZA UKWEE'E
 
 HII NI SETUP YA MEZA ZILIVYOKAA 
 NAKUMBUKA KWENYE BIRTHDAY YA KAJALA WEMA ALISEMA ANAPENDA CAKE SANA, NA RAHA YAKE NI KUWA CAKE NYINGI SIKU YA BIRTHDAY YAKE...!!! KAKA MANAGER MARTIN KADINDA......!!!
 WEMA ANAPENDA WATOTO SANA
AKIMLISHA MAMA CHIBU...
 LULU AKILISHWA CAKE
 KUNA UCHAGA?? AU NI TEAMWEMA TOKA UCHAGANI?? NDAFU
 WEMA SEPETU KAVISHWA NA J&M VIRGO!!! PALE MIKOCHENI KAJIPATIE KIVAZI CHA MASTAAA
 CHAMPAGNE HIZI ZILIHUSIKA.....!!!
 HAYA SASA WALE WALIMTUNZA WEMA ILITISHAJE...
 WAKIMSHOWER MAHELA.....
 AKIWASHA MOJA YA ZAWADI ZAKE....BMW!!!
 MASHALLAH!!! MWENYEZI MUNGU AKUONDELEE HUSDA!!!
 WEMA & MAMA

JUNAITHA PEMBA
 MAMA SEPETU
 WEMA ANAPENDA WATOTO SANA
 DESIGNER KHADIJA MWANAMBOKA AKIPATA SELFIE...
  HAPPY MOMENTS
 JAMANI ALIKUWA ANAWAZ NINI???
 DESIGNER MARTIN KADINDA MZEE WA KWACHUKWACHU & LULU
 WEMA, DIANA, JESTINA GEORGE (BLOGGER) & FRIEND, ASANTE JESTINA ULINIHABARISHAJE NA VIDEO..!!!
 MLEZI WA WANA ASHA BARAKA
 LULU

Post a Comment

5 Comments

  1. NICE NICE SHE DESERVES ANATOA SANA ACHA NA YYE APOKEE NA KUFURAHI

    ReplyDelete
  2. Mashughuli asante kwa picha lakini hujaitendea haki hii habari, birthday lunch ilifanyikia wapi, cakes katengeneza nani, mapambo, alimpamba Wema ni nani, tushajua kavalishwa na nani. Tupe uhondo kama kawaida yako.

    ReplyDelete
  3. Mashaallah Mola ampe umri na afya pia amjaalie alichokikosa.

    ReplyDelete