IVVONE's KITCHEN PARTY!!!

Bride                     ::Ivvone Joseph Mwambeleko
Event                     ::Kitchen Party
Makeup                ::Dage Wedding Parlor - +255 713 413 663
Dressedby             ::Yiru
Venue                   ::Kijiji Beach-Kigamboni
Décor                   ::Henjewele Décor - +255 713 601 906
Colour                  :: Yellow, Blue & Pink
Cake                     ::Tutty & Phillip
 MC                      ::Adela
Caterer               :: Mbonde Catering
IVVONE's KITCHEN PARTY PEMBEZONI MWA BAHARI, ILIPENDEZA SANA KWANGU MIMI NAWEZA SEMA NI YA KWANZA KITCHEN PARTY KUFANYIKA BEACH, MANDHARI NZURI, KAZI NZURI YA MAKEUP BY DAGE WEDDING COLOR, IVVONE MWENYE RANGI NZURI...., KINA MAMA PENDEZA SANA NA SWAGGA ZA NAIJA DRESS CODE ILIZINGATIWA, DECOR YENYE KUVUTIA NI KAZI YAKE HENJEWELE DECOR....!!!, KITCHEN PARTY ILIYOKUWA NA MC WAKONGWE KATIKA FAN...!!! #FOLLOW "MASHUGHULIBLOG" INSTAGRAM KUPATA YANAYOJIRI 
MASHUGHULIBLOG SASA TUMEKAMILISHA ZOEZI NZIMA LA STILL PICTURE, VIDEO TUNAFANYA KWENYE SHUGHULI YAKO WASALIANA NASI +255 655 426 100

MC's
MC ADELLA NDIO ALIANZA KUENDESHA SHUGHULI....!!! HII ILIKUWA NA MC WAKONGWE WA KUMWAGA....
IVVONE AKIINGIA UKUMBINI
DECOR.....//MAPAMBO
 INTRO.....!!!
IVVONE AKIGAWA ZAWADI...!!!
KAMATI IKITOA ZAWADI PAMBE KWA IVVONE
CAKE
BURUDANI
MALKIA WA TAARABU KHADIJA KOPA AKIWAKOSHA WADAU
CHAKULA
ZAWADI & KUKOSHANA
MC KOLUMBA & SHOSTITO WAKIMKOSHA MAMA HENJEWELE DADA YAKE IVVONE
HAPANA CHEZEYA MC ZIPOMPAPOMPA AKIMKOSHA MAMA HENJEWELE
MAMA DOTINATA AKIMKOSHA MAMA HENJEWELE
KUGALAGALA WANGONI EEH!!!
DADA, MAMA HENHEWELE AKIKOSHWA NA ASHOSTITO...!!!
SELINA KOKA AKIMTUNZA MAMA HENJEWELE
MAMA HENJEWELE AKIMTUNZA MAMA YAKE
MAMA HENJEWELE AKIWA NA MAMA MZAZI
MAMA HENJEWELE AKIWASHUKURU WAALIKWA
NYUSO
DADA WA BI ARUSI , MAMA HENJEWELE

IVVONE NA DADA YAKE KIPENZI
PENDEZA EEEEH!!!
MC KOLUMBA MZOEFU WA KAZI NAMBA YAKE +255 715 394 885
MC KOLUMBA & FRIENDS
MAMA HENJEWELEWE, SELINA KOKA, MKE WA MBUNGE WA KIBAHA & FRIEND
 RED CARPET


Post a Comment

2 Comments

  1. HONGERA SANA MPENDEZAJE

    ReplyDelete
  2. harusi ni nzuri sana ila Mashughuli mbona hujatuwekea namba za Ma MC kibao wa kike nimewaona hapo kuanzia MC Mary Mwanyato,Mc Zimpopa n.k pls next time tuwekee najua unawapenda sana wanawake wenzio na mara zote unasifia kazi zao na kuzitangaza pls do that.

    ReplyDelete