LATIFA & KARSTEN RECEPTION WEDDING!!!

Bride                     ::Latifa Kamus
Groom                  ::Karsten Hojlund
Event                    ::Wedding Reception
Venue                   ::Azura Beach
Cake                     ::
 Décor                  ::Harusinzuri
Caterer                 ::Talma Caterer
Color                    ::Light Blue,  Green Apple & Yellow
Makeup                ::Lavie Makeup Studio
Yap baada ya Islamic Aqdi ya Latifa & Karsten, leo ni wedding reception, chemistry ya Tanzanian & Denish, ni beach wedding reception hapo Azura beach, maarusi wampendeza, shughuli pambe tu, Latifa ni mdogo wake Halima Kamus, rafiki yake Latifa toka Sweden amkosha shosti kwa pound (£), na kumvisha MADINI....!!!
Sasa Mashughuliblog official tunapiga na kusafisha picha za albam pamoja na video kwenye event yoyote wasiliana nasi +255655426100
MC Claud
Latifa & Karsten wakiwasili Azura beach
 Decor....////Mapambo
Introduction
Halima akiitambulisha familia ya Kamus
Latifa & Karsten wakivishana Pete
 Cake
Champagne!!!
Burudani....
Latifa & Karsten wakifungua mziki
Halima alitambaje chezeya....!!! damu nzito kuliko maji eee!!!
Wanawari wakitupa show ya mziki
 
Chakula
Latifa & Karsten wakipewa honera na zawadi!!
Salma, rafiki yake Latifa toka Sweden, akimvisha shosti wake mkufu wa dhahabu, hapana chezeya shosti wa ukwee'e
Bwana harusi Karsten akivishwa msuli
Nyuso
Salma Mntambo, Sameera & Bai kuba
Halima, Shariffa, & Khadija 
Shariffa Kavu & Mariam Mntambo, mama ya Mntambo Food Product
Familia ya Kamus
Happy People...!!!!
Mabinti wa mzee Kamus hao
Nargis
Red Carpet
Halima Kamus
Halima Kamusi
Phina
Aisha & Friend
Halima & Latifa Sisterz
Sherry & Phina
Shariffa & Phina
Claud & Salma Mntambo
Nargis, Shariffa, Mariam & Chair Lady Rose


Post a Comment

10 Comments

 1. Mashallah,Latifa hongera sana,mungu awajaalie kila la kheri ktk ndoa yenu,

  ReplyDelete
 2. Ongera sana Arusi ilifana sana

  ReplyDelete
 3. Hongereni sana na mwenyezi mungu aibariki ndoa yenu
  Inshallah,,,
  Spånga

  ReplyDelete
 4. Wamependeza sana lakini mbona pete wamevishana mikono ya kulia??

  ReplyDelete
 5. bi harusi m cutije....sherehe imependeza haswa..ila wapi bwn harusi family ay kampani yake....ila ilikuwa bomba

  ReplyDelete
 6. wee anon, ulieuliza mbona wamevishana pete mkono wa kulia ndio wnavovaa pete, wazungu wa nothern europe yaani Skandinavia, pete wanavaa upande wa kulia sio kushoto, tamaduni hizo nazo

  ReplyDelete
 7. imependeza sana, ila huyo msimamizi wa bwana harusi was too casual for such a big event angevaa tu suti

  ReplyDelete
 8. ANON WA 2:04 AM NCHI NYINGINE ZA EUROPA UWA WANAVAA PETE MKONO WA KULIA,WA SCANDINAVIA,EUROPA MASHARIKI NA KASKAZINI NA KASKAZINI.

  ReplyDelete
 9. Ndoa iko pande ipi, kizungu au kiarabu, hmmm maana huku kwetu atuishi kurumbana na hizi Imani

  ReplyDelete
 10. Ndoa ipo kizungu plus kiislam mashallah biharusi pendeza saaaana huyo shoga wa biharus namjua anaitwa Amina Manyanya ama ndio Salma watu ulaya wanabadilisha majina coz nacho kihangaikaji may be coz kupata visa any way anaroho roho nzuri saana huyo tena saana ila usiombe ukamchokoza utaona mdomo wa kimanyema mashallah mmungu awajaalie mshikamane zaid na zaidi mpaka vizazi vyenu

  ReplyDelete