MWANAKHERI's KITCHEN PARTY!!!

Bride           ::Mwanakheri
Event           ::Kitchen Party
Venue          ::Mango Garden
Colour        ::Black, Blue, Gold & White
Cake           ::
 MC            ::Jamila Kitmtim
Caterer       :: 
 YES!! NI KITCHEN PARTY YA MWANAHERI HAPO MANGO GARDEN, MC JAMILA AKITUONGOZA IPASAVYO, SARE YA ZEBRA PENDEZA SANA.....!!!
 MC JAMILA KITIMTIM KATIKA KAZI
SWAGGA ZA UKWEE'E
 WAZAZI WAKIINGIA
 MWANAKHERI AKIINGIA, MAMA MZAZI AKIMPOKEA BINTI YAKE
DECOR...//MAPAMBO
 
 ZAWADI

MWARI LAZIMA AFICHULIWE...!!!!
 MAMA MZAZI AKMFICHUA BINTI YAKE
 MAMA MKWE AKIMFICHUA MKWEWE
ODO HUSNA AKIMFICHUA MWANA...
INTRO....!!!!

 KAMATI IKIJONGEA...
 MWENYEKITI AKIKARIBISHA WAGENI
CAKE
 
CHAMPAGNE
ZAKIA AKIMUINGIZA BI HARUSI NA NGUO YA PILI
ZAWADI
 MAMA AKIONGEA KABLA YA KUMPA BINTI YAKE ZAWADI
 MAMA AKIPELEKA KAPU LAKE
 MAMA AKIPELEKA SANDUKU
KISHA AKAENDA KUKABIDHI ZAWADI YA KITANDA
 MAMA NA MWANA
 WAKWE WAKIPELEKA ZAWADI
BIBI AKIMTUNZA MJUKUU
 WAFANYAKA WENZAKE MAMA MZAZI TKA MANISPAA YA ILALA WAKIPELEKA ZAWADI
 WATER DISPENSER 
 VYOMBO VYA JIKONI
 MAMA MZAA CHEMA AKIFUTWA JASHO
 
 
HUSNA MADENGE AKIKABIDHI KABATI
 ODO HUSNA WAZIRI AKIENDA KUKABIDHI ZAWADI NA KAMPANI YAKE
 HUSNA AKIKOSHWA 
 SITTU MWASU AKIMKOSHA HUSNA
 FATMA MSOMALI AKIMKOSHA HUSNA
 TANT BOY SUPER STAR AKIMKOSHA HUSNA
 MC JAMILA AKIMKOSHA HUSNA HAPANA CHEZEYA
JOKHA AKIMKOSHA HUSNA
 SHUU AKIMKOSHA HUSNA
 HUSNA & SHOSTI WAKE FATMA
 SHARIFFA MUKE YA MOODY MADENGE PENDEZA SANA
 FATMA AKIMKOSHA HUSNA
 MAMA MADENGE AKIMKOSHA HUSNA
 HUSNA AKIFUTWA JASHO NA WIFI ZAKE WA UKWEE'E
 MWANA AKIWAPA ZAWADI MAMA NA MAMA MKWE WAKE
NYUSO
 MANISPAA YA ILALA TISHA SANA
 SITTU NA SHOSTITO WAKE
 MADENGE FAMILY
 SHUU, HUSNA MADOHORA, TANT & SITTU
 MAMA MZAA CHEMA
 ZAKIA & WIFIS
 ROSE MBAGA, KIEDE & FRIEND
HUSNA & HAPPY
 HUSNA AKITAMBA NA WIFIS

 HUSNA & FATMA
 WAKWE

 TANT BOY SUPER STAR

 SHUU, HUSNA & TANT
CHAKULA
RED CARPET

Post a Comment

5 Comments

 1. Hongera bi harusi ila umechoka! mola akujaalie uzae salama

  ReplyDelete
 2. Mboan Husna Madohora hakupewa nafasi ya kutunza??????

  ReplyDelete
 3. Sherehe ilipendeza, watu wote walipendeza. Bi Harusi kila la kheri.

  ReplyDelete
 4. pendeza mwanaheri

  rehema-shy

  ReplyDelete
 5. Mwanangu mwanakheli umependeza sana....by odo yako lilah banta

  ReplyDelete