TANZANIA MITINDO HOUSE (TMH) 7- ANNIVESSARY

 TANZANIA MITINDO HOUSE YA SHEREKEA MIAKA 7 TANGU KUANZISHWA, WANAMITINDO WENGI WALIJITOKEZA KUSHEREKEA PAMOJA NA WATOTO WANAOLELEWA NA TANZANIA MITINDO HOUSE, SHEREHE HIZO ZILIFANYIKA KATIKA JENGO LA MSASANI TOWER PAMOJA NA KULA CHAKULA CHA MCHANA NA WAGENI WAALIKWA TOKA KITUO CHA MWANDALIWA ORPHANAGE MBWENI NA MUANGA ORPHANAGE KINONDONI

MWISHO WA WIKI ILIYOPITA, SHEREHE HIZO ZILIDHAMIWA NA PPF PENSIONS FUND, AZANIA BANK LTD,  MANIFESTER BRAND,EVENTLITES, KIDS EVENTS AND KCI
PICHA SHUKRAN::8020FASHIONSBLOG & TMH

 WADHAMINI WA SHEREHE ZA MIAKA 7 YA TANZANIA MITINDO HOUSE
 CAKE
 MWENYEKITI WA TANZANIA MITINDO HOUSE KHADIJA MWANAMBOKA AKIKATA KEKI NA WATOTO
 MWENYEKITI WA TANZANIA MITINDO HOUSE KHADIJA MWANAMBOKA AKIONGEA NA WAALIKWA
 DESIGNER MKONGWE ASYIA IDAROUS AKIENDSHA MNADA WA VITU MBALIMBALI KATIKA KUCHANGIA UENDESHAJI WA KITUO HICHO
 WATOTO WALICHEZA MICHEZO MBALIMBALI
 MIRIAM IKOA  & NANCY SUMARI
 WABUNIFU WA MIVAZI MUSTAPHA & KHADIJA MWANAMBOKA 
 DESIGNER MARTIN KADINDA & FRIEND
 JACQUELINE NTUBALIWE FORMER MISS TANZANIA

Post a Comment

0 Comments