WAPENDELEVU '89 RE-UNION DAY!!!

WAPENDELEVU '89 RE-UNION YA WADADA WA ZAMANI WALIOMALIZA HIGH SCHOOL 1989 WERUWERU SECONDARY SCHOOL, NI BAADA YA MIAKA 25 ILIYOPITA.....!!!

Left: Christina, Halima, Stella, Jane, Grace, Hamisa, Sylvia, Vida & Pili
 MWENYEKITI STELLA AKIONGEA
 CAKE
WAKIBADILISHANA MAWILI-MATATU NA KUKUMBUSHANA YA KALE
  ZAWADI
DADA SYLVIA AKIPOKEA ZAWADI
WAKIMSHUKURU MUNGU KWA KUWAKUTANISHA

Post a Comment

6 Comments

 1. ninzuri sana hii nimeipenda hongereni sana m'mependeza kweli wanawake tunaweza. mungu awabariki.

  ReplyDelete
 2. Oh waooo jamani! Dada zangu hawa! Nimefurahi kuwaona after so many years jamani. Ee Mungu, natokwa na machozi ya furaha. Mungu awabarikini jamani. Mmefanya kitu kizuri saaana kukutana. Sipati picha vicheko na story na mikakati pia maana nawaaminia sana hii cluster.
  Mungu awabariki na sambazeni upendo kwa kweli.

  ReplyDelete
 3. Awwww. Gorgeous. Picha nzuri na tukio ni jema mbele za Mungu na wanadamu. Nawkumbuka wadada wa shughuli hawa full umoja! Walikuwa mbele yetu madarasa matatu lakini walitufunza mengi. Mashindano mengi ya kividato walikuwa wakishinda na waliintroduce taarabu uchagani kwetu pale shule na walitisha!
  Jambo lingine walilotuachia mshangao na hamasa, mwaka wao walichukua nafasi za ushindi kitaifa yaani best student kitaifa ikawa ni shule yetu both michepuo ya Science na Biashara. Nimefurahi kuona wanadumisha umoja wao na still looking hot.

  ReplyDelete
 4. Mpaka raha wasomi utawaona kwa macho . Mungu awabariki mko poa hauna tetesaklin hapo . namaamisha watumia carolight . woteee mashaalllah

  ReplyDelete
 5. Ni Nzuri sana. Siku nyingine tuwekeeni na picha zenu za utoto mlikuwaje? Nimewapenda sana. Weruweru 89 oyeeeee!

  ReplyDelete
 6. Jamani nimefurahi sana kuwaona mkiwa wazima karibu ya nusu tulikuwa nao Ruvu JKT, yaani mpk raha, Hamisa mama yangu wa jeshini ndio Namuona leo kwenye blog, Ruhuza jamani nashindwa hata nisemeje mungu awabariki sana na muendelee na umoja huo, nitamtafuta vida najua nitapata namba zenu

  ReplyDelete