ABDUL & SALMA WEDDING RECEPTION!!!!

Bride                              ::Salma
Groom                            ::Abdul
Event                              ::Wedding Reception
Venue                             ::77 Hall
Color                              ::Purple, Yellow, Pink & Orange
Cake                               ::Mama Im
Makeup                          ::Asila Bridal - +255 717 616 852
Mc                                  ::MC Fella
Caterer                           ::Mama Im

Video & Still Picture     ::Mashughuliblog +255 655 426 100
YES NEW COUPLE IN TOWN ABDUL & SALMA MASHALLAH!! HAKIKA WAMEPENDEZA SANA, COMBINATION YA KIJANA WA KIPARE NA BINTI TOKA ZANZIBAR MASHAALAH,  KAZI NZURI SANA YA MAKEUP TOKA KWA ASILA BRIDAL BI HARUSI KAFUNIKA, MAMBO NDIO MAMBO NENDA NA PICHA....

ABDUL & SALMA WAKIINGIA UKUMBINI....!!!!
DECOR....///
CAKE
 WAKIWAPA KEKI FAMILIA ZAO
 CHAKULA KIKUU CHA WAPARE KISHUMBU
BDUL & SALMA WAKIKATA KEKI YA KIPARE
 CHAMPAGNE
BURUDANI
 MAHARUSI WAKIFUNGUA MZIKI
ZAWADI & HONGERA KWA ABDUL & SALMA
Abdul & Salma wakimpa mama zawadi

 MAMA AKITUNZWA.....CHEZEYA WENYE HELAAA!!!
CHAKULA
NYUSO
WAZAZI 
MAMA MZAZI WA BWANA ARUSI ABDUL
HALIMA & SHOSTITO
HALIMA KAMUSI & FRIENDS
RED CARPET

Post a Comment

4 Comments

 1. Bi dada mwenye kijani na tight kwa ndani na glam boots za vidole wazi..wera weraaaaaa wakuache miaka 800

  ReplyDelete
 2. Yaap nzuri Mashaa allah!

  ReplyDelete
 3. Nimependa combination ya kipare Na Ki znz.muungani udumu.miaka ya zamani wa znz,walikuwa wanapenda kuolewa Na wa znz wenzao Tu,huyo kijana atafaidi.wa znz wanakua kutunza mume,Na km mpenda mahanjumati atanenepa maana ndio wenyewe

  ReplyDelete
 4. Nimependa make up za wageni wote ziko vizuri zimetulia sana big up maharusi mpaka wageni waalikwa woooote!

  ReplyDelete