FATMA's SEND-OFF PARTY!!

Bride                    ::Fatma S. Ngwelela
Event                    ::Send-off Party
Venue                   ::Msasani Beach Club
Color                    ::Pink, Blue, Yellow, & Cream
Makeup                ::Salha Saloon
Mc                        ::Chambi
NI SHEREHE WA KUMUAGA BINTI YA MR & MRS SHABAANI NGWELELA FATMA, MAMBO YOTE NI HAPO MSASANI BEACH CLUB ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

 
MC CHAMBI
WALIANZA WAPAMBE KUINGIA UKUMBINI
 FATMA AKIINGIA......
KAMATI ILIYPKAMILISHA SHUGHULI
INTRO...
ALIANZA KUWATAMBULISHA WAZAZI MR & MRS SHABAANI BNGWELELA
DECOR
 
CAKE
 BABA NA MAMA WAKILA CAKE YA KWAHERI
AKIWALISHAWADOGO ZAKE JUMA NA SAID
 NDAFU
 AKIWALISHA WAZAZI NDAFU
 AKIMLISHA MWENYEKITI WA KAMATI
CHAMPAGNE
BURUDANI
 
FATMA AKIMTAFUTA MCHUMBA
 
AKAMUONA MCHUMBA WAKE SWALEHE
 BAADA YA KUMUONA MCHUMBA AKAMVUA VIATU NA KUMVISHA VIPYA VYA ZAWADI
 AKAMVISHA NA SAA
FATMA AKIMTAMBULISHA SWALEHE
KISHA AKAMKARIBISHA CHAKULA CHA JIONI
 CHAKULA
 FATMA NA SWALEHE WAKILA CHAKULA CHA JIONI PAMOJA
ZAWADI
WAZAZI WAKITOA ZAWADI
MAMA MZAZI AKIKOSHWA
 KAMATI IKITOA ZAWADI
 
  FATMA AKIWAPA ZAWADI WAZAZI
 KISHA AKAWAKOSHA WAZAZI KWA DOLLAR
NYUSO
MR & MRS SHABAANI NGWELELA
MAMA NA MWANA
MCHUMBA SWALEHE AKIWA NA MPAMBE WAKE
FATMA NA BIBI ZAKE
FATMA AKIWA NA WAZAZI WAKE, MR & MRS SHABAAN

Post a Comment

4 Comments

  1. Kapendeza kiasi chake, ila Make-up artist wake hakumtendea haki, bado hajawa mzoefu. kidogo kamtia doa. bahati tu yeye ni mrembo bi harusi.

    ReplyDelete
  2. jamani bibu arusi mzuri

    ReplyDelete