HINDU (MWARI) AKIPELEKWA KWA SOMO!!!!

TULIANZA NA MAHARI YA HINDU, WENGI MLIULIZA YU WAPI BI HARUSI, HUYU HAPA BINTI MREEEMBO MWENYE TABASAMU LA KUVUTIA MASHALLAH, LEO NI SIKU YA HINDU KUPELEKWA KWA SOMO, HAPANA CHEZEYA WANA WA KARIAKOO SHURTI KWA SARE, WAO HAWAKUTAKA MAHARI YA KITHUNGU WANATAKA KUTUONYESHA ASILI, WANASEMA "MWACHA ASILI MTUMWA"

SOMO NA MWARI
MWARI AKIPELEWA KWA SOMO
 BENBATI LA HAJA
 MWARI AKIINGIZWA KWA SOMO
 NDUNDU YA KUMFUNDIA MWARI IKIWA IMEBEBWA NA SOMO
 NDUNDU HIYOOO
MARIAM BEST, TATU & HABIBA KWA NYUMA
MWARI AKIENDA KUFUNDWA NA MANYAKANGA WA UKWEE'E
HUKU WANA WA KARIAKOO WAKICHEZA VYA HAJA
NYUSO
MAMA MZAA CHEMA MWANAIMA, MAMA YA SPARE ZA MAGARI HAPANA CHEZEYA
HAFSA & SALMA MAHANSEN
 HABIBA MAMA YA MATELEPHONE & SHOSTITOS
MAMA MZAZI WA HINDU NA DADA YAKE ODO SALMA MAHANSEN
MAMA MZAA CHEMA MWANAIMA NA NDUGUZE
WATU HAO NA SARE ZAO
HINDU & FRIENDS
TABU & SHOSTITO
WAZAZI HAFSA & MWANAIMA
RED CARPET

Post a Comment

10 Comments

 1. Jamani watu wanapenda shughuli sijapata kuona mmmhhh kazi kweli kweli.

  ReplyDelete
 2. Dooooh kweli mjini uwanja wa fujo. Watu wana matashititi hatareee

  ReplyDelete
 3. Halafu bi harusi mtarajiwa kwa mbaali kama anataka kufanana na marehemu Amina Chifupa

  ReplyDelete
 4. Bi harusi mzuri maashallah.....

  ReplyDelete
 5. JAMANI MWALI HAFUNDWI HADHARANI

  ReplyDelete
 6. mmependeza hongera sana

  ReplyDelete
 7. kheee! shuti makubwa bongo watu wanapenda shughuli atari! kupelekwa kwa somo uwii!! bi harusi mtarajiwa kichuna mashallah> mdau from znz

  ReplyDelete
 8. mmm! we nawe wachi, kimekukera nini? anyo 11:52 oct 26

  ReplyDelete
 9. bi harusi kishuna mashallah....ila haya ya kufunzwa hadharani hata mm naona ni sheeedaaaahhhhh

  ReplyDelete
 10. bi harusi amependezA

  ReplyDelete