HINDU's NIGHT!!!

Bride                               ::Hindu
Event                              ::Singo
Venue                            ::Msasani Hall
Color                             :: Yellow, Orange & Maroon
Makeup                          ::Gloria
Décor                             ::Masoud Picadilly - +255 715 557 774
Mc                                  ::Jamila Kitimtim - +255 655 374 440
Caterer                           ::Yahya - +255 713 215 615 
YES NI SELFIE, LEO NAWALETEA HINDU'S NIGHT, TULIANZA NA MAHARI KISHA TUKAJA HINDU AKIPELEKWA KWA SOMO NA LEO NI SINGO YAKE KAPENDEZA SANA, MASHAALAH...!!! NA UTURI UNACHANGIA...WALE WALE WANA WA KARIAKOO!!!

MAMA NA MWANA
MAMA NA MWANA
MWANAIMA NA SALMA (SISTERZ) WAKIWA NA BINTI YAO
 MC JAMILA KITIMTIM
HINDU AKIINGUA UKUMBINI
MAMA AKIINGIA UKUMBINI NA SHOSTI WAKE HAFSA
 MAMA MZAZI AKIKARIBISHA WAGENI
 DECOR....
HINDU AKIFICHULIWA....
BURUDANI
RAHA ORIGINAL WAKITOA BURUDANI LIVE
CHAKULA
NI YULE CATERER WA UKWE'E YAHYA
ZAWADI
MASANDUKU YA HINDU YAKISASAMBULIWA NA MC DALILA JAGGAR
KISHA BAADA YA KUTUNZA MAMA MZAZI AKAMGARISHA BINTI YAKE NA MADINI SET YA UKWEE'E
HINDU AKIVISHWA MADINI NA MAMA ZAKE
MAMA AKIKOSHWA...
SAIDA AKIMKOSHA MAMA MZAZI KWANZA
TANT BOY AKIMTUNZA MAMA MZAZI
SAIDA AKIMTUNZA SALMA MAHANSEN
NYUSO
MASHOSTITOS...!!!
LUMELEZI HAO...
ASHA TOM & ....
FARHA & SISTER
REHEMA
JIRANI HUYOO....
TABU & FRIEND
SALMA & MKWEWE
MARIAM WHITE
SALMA & ALHANISA SLEYUM
FARIDA & ALHANISA
MWANAIMA MAMA MZAA CHEMA
KHADIJA, FARIDA & FRIEND
HAFSA
FRIENDS OF JANGWANI.... HAO
KANYAU's FAMILY
SHAMIMU BI HARUSI YULE WA USIKU WA ZAWADI & REHEMA (MAMA)
NANA, TANT & SAIDA
MAMA MZAA CHEMA MWANAIMA & MIE
MARIAM & MAMA MZAA CHEMA
DJ BAD NA WADAU WAKE WANA WA KARIAKOO
SHOSTITOS TATU & MARIAM
MWANAIMA & MARIAM WHITE
MAMA MDOGO SALMA MAHANSEN
HAFSA, SALMA & MWANAIMA
LUMELEZI FAMILY
BI ALHANISA SLEYUM
ALHANISA SLEYUM & MC JAMILA
HABIBA, HAFSA & FRIEND
MARIAM, SALMA & TATU
HINDU NA MDOGO WAKE
HINDU NA MAMA HAFSA
HINDU NA MAMA ZAKE HAFSA & MWANAIMA
HINDU & MARIAM WHITE
HINDU NA BIBI
MIE, MWANAIMA & FRIEND
KOPE KOPE EEH!!!
ZOWANGE FAMILY
SOPHIA & SOPHIA KESSY
ZEBRA CARPET

Post a Comment

5 Comments

 1. mashaAllah penda sana hii shughuli ilikamilika na kupangwa bi harus Mungu akupe kheri na mafanikio mema katika maisha yako mapya

  ReplyDelete
 2. bi haruc kapendeza mashallah na makeup yake imeenda shule na nguo yake pia ni nzuriii sio common ni nguo ya peke yake sijawahi ona mtu kavaa bongo,so hongereni wazazi shughuli pambeee!!!!

  ReplyDelete
 3. Watu wote wamependeza shughuli imenoga, Bi harusi Mzuri Mashallah, ila huyo aliyemuweka makeup hajamtendea haki anaonekana mkubwa wakati ni mtoto mdogo, picha alizopigwa bila makeup yu aonekana mdogooo.

  ReplyDelete
 4. Mrs eddie wee. Umendezaje na njano yako###

  ReplyDelete
 5. watu wamependeza sana kimavazi kasoro make up tu uuuwiii nimeboreka ila Mashughuli umenoga dada yangu safi sana

  ReplyDelete