NICOLE FRANKLYN SARAKIKYA NDIYE REDS'S MISS TANZANIA TALENT 2014!!!!

 NICOLE FRANKLYN SARAKIKYA AMBAYE NI MWAKILISHI KUTOKA SHINYANGA 2014 USIKU WA KUMAKIA LEOALIFANIKIWA KUWABWAGA WENZAKE 26 KATI YA 30 WANAO WANIA TAJI LA MISS TANZANIA MWAKA HUU  NA KUFANIKIWA KUWA MREMBO WA 3 KUINGIA NUSU FAINALI YA MASHINDANO HAYO BAADA YA KUTWAA TAJI LA MISS TALENT . SHINDANO HILI LIMEFANYIKA NEW MAISHA CLUB DAR ES SALAAM

CHIEF JAJI MARTIN KADINDA AKITANGAZA MATOKEO
 WALIMBWENDE WAKIOESHA VIPAJI VYAO

MAJAJI KAZINI


Post a Comment

0 Comments