RED CARPET FAB: REDDS MISS TANZANIA 2014!!!

JUMAMOSI 11TH OCT 2014 SHINDANO LA REDDS MISS TANZANIA LILIFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY, SITTI MTEMVU MSHIRIKI NO. 10 ALIFANIKIWA KUTWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014, ANGALIA WATU WALIVYOVAA WANAWAKE NA WANAUME & PICK YOUR BEST DRESS.....HII NI REDCARPET TU PICHA ZAIDI ZAJA

PICTURE THANKS ODIDOMORE


Post a Comment

6 Comments

 1. Jamani Sausa Mwilima anavaa sana matambara khaaa!
  Naombeni mumuelekeze jinsi ya kuvaa wenye Event kama hizo maana naona hata akili yake imegoma kuiga kabisa.

  ReplyDelete
 2. Wooote mmenoga mnoo ila SAUDA MWILIMA JAMAN!!!! Khaaaa................... ndo nini hicho kavaaaa???

  ReplyDelete
 3. Nakuunga mkono mdau maana hata mimi sijamuelewa kavaa nini hicho"? hivi hakuona aibu jamani?

  ReplyDelete
 4. Lah huyo mwenye gauni la blue, black na silver sijui kaliokota wapi? kama vile kalishona barabarani au kachukua matambaa akajivika. Irimradi Khaa

  ReplyDelete
 5. Hata mimi nakubaliana nanyi sauda mwilima sijui hiyo nguo ameazima kwa nani kwa kweli si yake kama yake basi aliichukua kwenye mtumba fasta akakosa muda wa kuipunguza kwani kama ingekuwa dukani hata kama ageinunua siku hiyo hiyo si rahisi kununu over size na kama mnavyojua mafundi wa kupunguza nguo tena hukushona kwake na unaitaka fasta fundi hakubali ikabidi avae kama mlivyomwona pole au hakujitaza kwenye kikoo
  na mashoga zake hata kumshauri mwenzenu au nyie ndio walewale unamwambia mwenzio umependeza huku una mzomea

  ReplyDelete
 6. Yani hata kucopy n kupaste kashindwa m amenichosha kabisa!!wengine mmenoga sana

  ReplyDelete