REDDS MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU

SHINDANO LA KUMSAKA MREMBO ATAKAYETUWAKILISHA MISS WORLD 2014 ZIMEFIKIA TAMATI HAPO JANA KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY, HUKU LIKISHUHUDIWA NA WANANCHI WENGI LIVE KUPITIA STAR TV, MREMBO NO. 10 SITTI MTEVU ALIFANIKIWA KUTWAA TAJI HILO MWAKA HUU NA KUWACHUA WAREMBO THELATHINI, ALIPATA ZAWADI YA KWANZA HUNDI YASHS. 10,000,000/= NA MENGINEYO YATAENDELEA KATIKA KIPINDI CHOTE CHAKE, MASHABIKI WA SITTI MTEMVU MISS TANZANIA 2014 WALIJAWA NA FURAHA NA KUTOA VIPEPERUSHI VYENYE PICHA YA SITTI, WASANII VANESSA MDEE & OMMY DIMPOZ WALITOA BURUDANI KALI.....

VIP TICKET WALIHUSIKA NA MLO WA JIONI
 VANESSA MDEE AKITOA BURUDANI
 
 WATANGAZAJI BOOBY & JOKATE 
 WASHIRIKI WAKIPANDA JUKWAANI
WASHIRIKI WALIOSHINDA CROWN MBALIMBALI WAKITANGWAZWA 
 TANO BORA.... 
 WALIOFANIKIWA KUINGIA TANO BORA
 MAJAJI WAKIFANYA KAZI......!!!
 JUDGE ANGELA BONDO MC & MAMA YA CHEREKOCHEREKO
 WASHIRIKI WATANO BAADA YA KUTANGAZWA WALIBADILI NGUO NA KUVAA NGUO TOKA KWA MDHAMINI MWENZA S&D COLLECTION BOUTIUE
UKAFIKA MUDA WA KUJIBU MASWALI
 MISS TANZANIA 2013 JACQUELINE WATIMANYWA AKIWA TAYARI KUKABIDHI CROWN KWA REDDS MISS TANZANIA 2014 
 JACQUELINE AKIMVISHA MISS TANZANIA 2014 SITTI MTEMVU MSHIRIKI NO. 10 
 MSHINDI NAMBA 3, 2 & 1
TBL KUPITIA KINYWAJI CHAO REDDS WAKIKABIDHI MFANO WA HUNDI
 SITTI NDIO MUWAKILISHI WETU MISS WORLD 2014
 MAMA MZAZI WA SITTI ALISHINDWA KUZUIA FURAHA YAKE
 RAFIKI YAKE AKIMPA HONGERA
 MUHESHIMIWA MBUNGE WA TEMEKE ABBAS MTEMVU AKIMPONGEZA BINTI YAKE
 MASHABIKI WAKISHANGILIA KWA FURAHA
 SHURTI KWA VIPEPERUSHI
 HAMMER LIKIMSUBIRI MREMBO WETU
NYUSO
 DEVOTA MNTAMBO MKURUGENZI WA S&D COLLECTION (MDHAMINI WA SHINDANO) NA MUME WAKE WKISHUHUDIA SHINDANO HILO
 HAMISA & FRIEND
 NARGIS
 HASHIM & BOSCO WAANDAAJI WA SHINDANO LA MISS TANZANIA
 

 

Post a Comment

4 Comments

  1. Mashughuli huwa nakupenda kwny matukio huwa unachukua watu wote waliokuwemo hufanyi ubaguzi kuangalia so called mastar tu kama blog nyingine wanavyofanya. Big up dada Hellen upo juu!!

    ReplyDelete
  2. Miss Tanzania isn't Jacqueline her name is Happiness

    ReplyDelete
  3. Miss Tanzania isn't Jacqueline her name is Happiness

    ReplyDelete