SALMA's KITCHEN PARTY!!!

Bride                     ::Salma Haruna
Event                    ::Siku ya Vyombo
Venue                   ::Vigemo’s Resident- Kitunda
Color                    ::Orange, Gold & Brown
Makeup                ::Glambox
Still Picture         ::Mashughuliblog  +255655426100
Mc                        ::Lucky +255754551400 
NI SHUGHULI YA KUMKABIDHI SALMA VYOMBO VYA JIKONI TU, BEAUTIFUL SALMA KAPENDEZA SANA MASHALLAH, SALMA BINTI MWENYE ADABU NA AKILI NI BI HARUSI WA KWANZA ANAYEJUA KUONGEA NA KUSHUKURU, SHUGHULI PAMBE TU, ZAMA NDANI UONE NURU SEPETU ALIVYOMTUNZA MAMA MKWE CHEZA NA DOLLAR HATARI...!!

MADINI...
MC
 MC LUCKY ALIWEZAKUONESHA UJUZI WAKE KATIKA SEKTA HIO, SHUGHULI ILIKWISHA MAPAME, MIE NAPENDA SAUTI YAKE!!! KAZI NZURI UKO JUU
UKIMTAKA MPIGIE KWA NO.:+255 754 551 400
 SALMA AKIINGIA
 SALMA AKIFICHULIWA....!!!!
 Decor...///
Zawadi
Cake
 
BURUDANI
GUSAGUSA MIN BAND WAKIIMBA LIVE, GUSAGUSA NDIO MAPANGO MZIMA
WANAPIGA KWENYE SHUGHULI MBALIMBALI 
MAWASILIANO.:+255 713 343 342
 BI AFUA AKIRINDIMA.....
NURU KAGUSWA.....!!!
Chakula - Talma Catarer
SALMA AKIPEWA ZAWADI & WAZAZI KUKOSHWA
 WANAKAMATI WAKIENDA KUMKABIDHI SALMA VYOMBO VYA JIKONI
 NILIPENDA SANA SALMA ALIVYFURAIA VYOMBO VYAKE....
 ORIGINALLY WIFI NURU SEPETU NA KAMPANI YAKE WAKIENDA TOA ZAWADI
 SALMA ANAJUA KUSHUKURU AKIWAHUG WOTE WALIOMPA ZAWADI....
 SALMA AKIWA NA MARAFIKI WA NURU WALIOMSINDIKIZA
 NURU & WIFIYE SALMA
 WIFI SALMA AKICHEZA KWA KUFURAHA......
MAMA MZAZI AKPELEKA SANDUKU KWA BINTIYE
MASHANGAZI WAKITOA ZAWADI
  DIVAS GROUP WAKIMPA ZAWADI SALMA
 DIVAS GROUP WAKAMKOSHA VIGEMO
 WAFANYAKAZI WENZAKE VIGEMO TOKA SWISS PORT WAKITOA ZAWADI
 VISA AKIMPA ZAWADI SALMA
 NURU AKIMKOSHA MAMAMKWE WAKE KWA FUJO....!!! NI DOLLARI KWA KWENDA MBELE.....TISHA WATU MAYOWEEEEE!!!
 NURU AKIKOSHWA NA WIFI ZAKE
 CHEZEA WIFI WAKIKUPENDA.....!!! WEKUNDU WA MSIMBAZI 
 SALMA AKIWASHUKURU WAALIKWA NA NDUGU ZAKE KUJUMUIKA PAMOJA, AKIMSHUKURU DADA YAKE VIGEMO KWA KUMLEA VINZURI NA ALIMUOMBEA DUA KIKUKWELI SALMA ANAJUA KUONGEA NA KUPANGILIA MANENO....MASHALLAH
Nyuso
BONGE LA WIFI NURU NA FAMILIA YA MUME WAKE
 NURU & FRIENDS
NURU SEPETU PENDEZA SANA....!!! CLASSIC

ASHURA SAPI, MAKEUP BY PINACOLADA STUDIOFIX HAWA NI MOBILE STUDIO UNAWAPIGIA SIMU WANAKUFUATA....NO: +255 652 000 009
 SALMA & VIGEMO SISTERZ FOREVER
NURU SEPETU, WIFIYE SALMA & MAMAMKWE, UNARINGAJE KUPENDWA
FATHIYA & BI AFUA
 VIGEMO, DADA YAKE SALMA
MAMA MZAA CHEMA
SISTERZ FANANA EEH!!!
NURU & MAMA MKWE KIPENZI
MUKE YA WASHOKERA & MAMA MKWE!!!
VISA & SALMA
ASHURA & FRIEND
ASHURA & FRIENDS
NURU & WIFIS
JAMILA & FRIEND
FATHIYA
Red Carpet
SWAGGAPost a Comment

2 Comments

  1. hahahahahaha leo watu watakesha kwenye blog, mlipendeza kupita maelezo....MADINI sasa

    ReplyDelete
  2. harusi nzuri sanaa na hao wadada ni wenyeji wa tabora tena mtaa wa bachu duk wamenikumbusha mbali sana tumekua pamoja,vigemo na mama vigemo

    ReplyDelete