SHAMIM's USIKU WA ZAWADI!!!

Bride                     ::Shamim
Event                     ::Usiku wa Zawadi
Makeup                ::Asila Bridal +255 717 616 852
Dressedby             ::Leylat Boutique
Venue                    ::Kariakoo
Colour                  ::Yellow, Pupre, Royal Blue & Red
MC                       ::Dalilah
Caterer                  ::Talma Caterer
NI USIKU WA ZAWADI WA SHAMIMU, MTOTO WA REHEMA MAMA YA MUJINI, NDIO BI ARUSI KAPENDEZAJE MAKEUP YA UKWEE'E BY ASILA, SHUGHULI PAMBE LIVE BAND TAARABU WAKIKONGA NYOYO ZA WATU, MUIMBAJI MKONGWE BI AFUA AWAPA RAHA WAALIKWA, MAMA BI ARUSI KAKOSHWAJE NA WAPENZI WAKE......!!!!!MWENDO NI WA KUPEANA NA KUKOSHANA TU...

 MC DALILAH JAGGAR
SHAMIMU ALIINGIA AKIIMBA LIVE, TENA MASHAIRI YA MAHABA NIUWE....!!!
 SHAMIMU AKITUNZWA.....!!!
Intro...//
Decor..//Mapambo
ZAWADI


BURUDANI MR LIVE BAND TAARAB 
 BI AFUA AKITOA BURUDANI
Zawadi
ALIANZA MAMA MZAZI KUMKABIDHI BINTI YAKE ZAWADI
 BAADA YA KUKABIDHI KABATI NA KITANDA, SASA SASAMBUSASAMBU YA SANDUKU 
 
MAMA MZAZI AKITAMBA 
DADA YAKE SHAMIMU AKIMKABIDHI MDOGO WAKE DRESSING TABLE
 WADOGO ZAKE BI ARUSI WAKIMTUNZA
MC JAMILA AKIMKOSHA SHAMIM
 MAPACHA WAKIMFUTA JASHO SHAMIMU
 SALAMA AKITUMKOSHA SHAMIMU
 KWANZA ALIMKABIDHI MKUFU WA SILVA
 LEYLAT AKIMKOSHA SHAMIMU
  SOMO AKIKABIDHI VYOMBO VYA JIKONI
SOMO NA MWARI
 MAMA MZAZI REHEMA AKIFUTWA JASHO
 KHADIJA MNYIKA AKIMKOSHA DA REHEMA
 MUAKILISHI WA MARIAM TWAHIR AKIMKOSHA MAMA MZAZI SHURTI KWA SANDUKU
 MARIAM BEST AKIMKOSHA MAMA MZAZI
KISHA AKAMTUNZA BI ARUSI
 TANT BOY AKIMKOSHA SOMO
SHAMIMU AKIKABIDHIWA SOFA SET
TABU MABOBISHI MAMA WA YANGA MOJA AKIMFUTA JASHO DA REHEMA
SOPHIA AKIMTUNZA REHEMA
 BI AFUA AKIMKOSHA REHEMA

 YAMOTO BAND....
 MWAVITA AKIMTUNZA SHAMIMU
 DADA YAKE SHAMIM AKIKOSHWA
 SHAMIM AKIMTUNZA MAMA YAKE KWA KUIMBALIVE
Nyuso
BI ARUSI NA BABY AKE
AMINA, HUSNA & NAIMA
TANT & SHUU
JASMINEAFUA
SHUU, TANT & HUSNA
TATU & MARIAM BEST
DESIGNER BAHIYA & MDANGE
SITTU & TATU
HUSNA & JAMILA
MAMA NA MWANA
FATMA & LEYLAT
FATMA GASANI
JAMILA & DALILA
JASMINE & MARIAM
MAPACHA PENDEZA
MARIAM MKWECHE & FRIEND
SITTU MWASU
JOHA & FRIEND
SOPHIA & TABU MABOBISHI
KHADIJA MNYIKA
BI AFUA & FRIEND
FRIENDS OF JANGWANI
SALAMA & SHOSTITO
JOSE & FRIEND
SALAMA
LUMELEZI FAMILY
 REHEMA,MAMA MZAA CHEMA
JOHA KABOTOKA
 SHUU, TANT & HUSNA
SITTU & FATMA
Red Carpet

Post a Comment

3 Comments