TERYTEVY's BOUTIQUE!

HAYA WADAU WANGU NI JUMATATU NYEPESI, NAWATAMBULISHA TERYTEVY's BOUTIQUE WAUZAJI WA VYOMBO, VIATU, HANDBANG NA NGUO KAMA WEWE NI MPENDA VYOMBO BASI HAPA NDIO MAHALI PALKE UTAPATA VYOMBO QUALITY AINA ZOTE, PIA WALE WAGONJWA WA VIATU VYA KISASA MPAKA VILE VYA KISIGINO KIFUPI VINAPATIKANA, UKIJA KWENYE AFRICA TOUCH WANA VITENGE ORIGINAL TOKA NAIGERIA WANAPATIKANA HAPA HAPA  BONGO PIGA NAMBA ZAO A SIMU KWA LOLOTE LILE UNAHITAJI KUFAHAMU
WANAPATIKANA::  KARIBU NA KINONDONI MWEMBEJINI (MAKABURI YA KANUMBA)
MAWASILIANO::+255 652 435 332 / 754 350 912
NAANZA NA SET ZA VYOMBO, KWA SABABU MIMI NIMPENZI WA VYOMBO NA MTEJA WAO, KWA WALE WENYE KUPENDA KUTOA ZAWADI NZURI KWA BI ARUSI SIKU YA KITCHEN PARTY HAPA UNAPATA QUALITY YA JUU
 TEA SET
 MUG ZA CHAI
 MUG ZENYE CATOON ZA WATOTO
 BAKULI
 ICECREAM GLASS
 CRYSTAL GLASS
 COCKTAIL GLASS
 CHUPA CHA CHAI HAZIPOOZI MASAA 24 UNAPEWA NA GURANTEE
 FRAYING PEN NONSTICK, UKIKAANGA KITU HAKISHIKI
 CONTAINER ZA KUHIFADHIA CHAKULA TOFAUTI NA ZA KARIAKOO
 NONSTICK SUFURIA ZA AINA MBALIMBALI
 VIJIKO STAINSTILL, HAVISHIKI KUTU NA MGAO WAKE PALE PALE
 TRAY ZA KUSAVIA
 CHUPA ZA MAJI
AFRICAN TOUCH WANA VITENGE ORIGINAL TOKA NAIGERIA 
 MAKENZI ORIGINAL MDAU NENDA KAANGALIE QUALITY HALAFU UTOAUTISHE
 NYOTA NYOTA ORIGINAL
 LINEN ORIGINAL RANGI TOFAUTI ZINAPATIKANA DUKANI
VIATU VIATU QUALITY NA BEI ZAO NI POA KUANZIA 35000-100000 
 VIATU VYA KISIGINO VIFUPI WALE WENZANGU WASIOWEZA VIATU VIREFU HAPA NDIO MAHALI VIKO RANGI NYINGI NA TOFAUTI
 VIATU SILVER & GOLD VINAFAA PIA KWA WATARAJIWA
 FLAT SHOES
 SANDALZ
 VIATU VYA WATOTO
HANDBAG NA NGUO


Post a Comment

5 Comments

 1. wow viatu ni sheedarrr

  ReplyDelete
 2. nimependa vyombo itabidi nipatafute hapo ingawa nipo mkoa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nimependa makenzi inanikmbsha enz zile
   Delete
 3. MMMhhh haya!!!!!!

  ReplyDelete