WAZAZI WAKIPOKEA MAHARI YA HINDU

HAYA HUU NI MWANZO WA SHUGHULI NA HAYA NI MAHARI YA HINDU HUKO MWEMBEMBAYA......

WAGENI WAKIKARIBISHWA KUJA KUOMBA JIKO
KIFUNGUA KINYWA KIKITAYARISHWA
DUA KABLA YA KUANZA MAZUNGUMZO
WAZEE WAKAANZA KUONGEA NA KUKABIDHIANA MAHARI
BABA MZAZI AKIPOKEA MAHARI
UTAMBULISHO WA FAMILIA UPANDE WA BI ARUSI
 INTRO UPANDE WA BWANA ARUSI
 DUA BAADA YA KUFANIKISHA NA SALAMA

 WAKIAGANA BAADA YA KUHITIMISHA SHUGHULI
NYUSO

TATU, HAFSA & MARIAM

Post a Comment

7 Comments

 1. mlipendeza familia ya Zowange kati ya k,koo mpo juuu

  ReplyDelete
 2. Pambe. Zowange family mpo juu Hapana chezea... By deeja zowange

  ReplyDelete
 3. siku hizi kuna mbwebwe !! hadi mahari sherehe !! then hapo utakuta mtoto wa mjomba kakosa ada ya chuo / shule

  ReplyDelete
 4. Hilo wazo lako si mbaya. Ila familia ya zowange naona huijui wote wanasoma hakuna anayekosa ada.

  ReplyDelete
 5. hayo ni mawazo yako! na inalekea hii familia huijui kiundani.

  ReplyDelete