HINDU & NASSORO AQDI!!!!

Bride                  ::Hindu
Groom               ::Nassoro
Event                 ::Islamic Aqdi
Venue                ::Mwanambaya
Color                ::Gold & Deepskyblue
Makeup            ::Gloria
Caterer           ::Yahya - +255 713 215 615 
HAPPY COUPLE NASSOR & HINDU, LEO NAWALETEA AQDI (NDOA) YAO, SHUGHULI YA AQDI ILIRUDISHWA KIJIJINI HUKO MWANAMBAYA....!!! MASHAALAH WAMEPENDEZA SANA.....!!!

BI ARUSI HINDU NA NGUO YA PILI
NDOA IKIFUNGWA MSIKITINI
HINDU AKIMSUBIRI MUME KUMFUNUA....
BWANA NASSORO AKIMPA MKONO MKEWE HINDU
CHAKULA
SORO LA BWANA.....
HAPANA CHEZEYA....
BWANA HARUSI AKITOLEWA KULA SORO NA MANYAMANYAM
UMEONA KUKU PAKA....!!
BWANA HARUSI NASSORO AKIFUNGWA MKONO ILI WAMGOMBOE AWEZE KULA....
PESA ZIKIKUSANYWA....
NYUSO
HABIBA & FRIEND
BABU NA WAJUKUU ZAKE
WANA WA KARIAKOO HAPANA CHEZEYA MWANZO MWISHO
BIBI NA BABU
MAMA MZAA CHEMA
JIRANI YANGU KITU CHA WHITE, MWANAIMA & BI HARUSI
HAFSA, MAMA MZAZI & HINDU
MAMA NA MWANA
MWANAIMA & SALMA SISTERS
DADA ZAKE HINDU
HINDU NA WADOGO ZAKE
CATERER YAHYA NA KAMPANI YAKE
MAMA MZAZI WA NASSOR
HINDU NA MKWEWE
HINDU, NASSORO & MDOGO WAKE
BIBI NA MJUKUU
MAMA MDOGO SALMA MAHANSEN, RAFIKI & MAHARUSI
MAMA NA MKWEWE NASSORO
BABA NA BINTI YAKE
ZOWANGE FAMILY
MWANAIMA & MKWEWE
BABU NA WAJUKUU
HAFSA & MARIAM
TATU, HAFSA & MARIAM MWANZO MWISHO
MAMA NA BABA, WAZAZI WA HINDU
HAFSA
MAMA MZAZI WA BI HARUSI HINDU
RED CARPET


Post a Comment

12 Comments

 1. Hongereni sana Mwanaima na Mussa kwa kuozesha mtoto wenu,mwenyezimungu amjalie ndoa ya kheri na kizazi kilichobora

  ReplyDelete
 2. Umependeza Hindu japo mpambaji hakukutendea haki kabisaaa

  ReplyDelete
 3. Mashaallah Harusi imependeza saana

  ReplyDelete
 4. mashallah bi harusi alipendeza mwanzo mwisho kuanzia mahali singo hadi ndoa kweli imeleta raha

  ReplyDelete
 5. Bi harusi mashallah. Amependeza sanaaaaa

  ReplyDelete
 6. alf mabrouk habibty m/mungu ailinde ndoa yenu

  ReplyDelete
 7. WAMENDEZA SANA HONGERENI MUNGU AWAPE KHERI DAIMA

  ReplyDelete
 8. bi harusi ni mzuri sanaaa mashallah kapendeza sanaa na nguo zake zotee ni nzuriii sanaa lakini mbona hujatuambia desighner wa nguoo? tuambie na sisi tukanunuee nguo zake ni nzuri halafu sio Daresalaam combine..kila la heri bi harusi mwenyez mungu akuondolee husda za walimwengu inshaallah..

  ReplyDelete
 9. Mashallah lkn angefunga kilemba angependeza zaidi coz aqdi ni jambo la kheri.Lamwisho wanja umenimaliza kabisaaaaa yaaani ni mzuriiii sana
  KILA LA KHERI

  ReplyDelete
 10. mashaaAllah MashaaAllah biharusi so cute MashaaAllah

  ReplyDelete
 11. Umependeza sana Hindu mzurije sasa halafu nakufananisha na wastara yani hapo utafikiri mwaarab pia unge vaa ushungi ungependeza zaidi katika ndoa hapo lol

  ReplyDelete
 12. mashaallah hadija zowange ulipendaAje?

  ReplyDelete