KULTHUM KITCHEN PARTY!!!

YAP KULTHUM's KITCHEN PARTY, PENDEZA SANA NDANI YA BABY YELLOW, MAMBO MAZURI KAMA HAYA NDANI YA UKUMBI WA MAMBA CLUB KINONDONI ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

 DECOR....
CAKE
ZAWADI
CHAMPAGNE...
DADA WA BI HARUSI
NYUSO

Post a Comment

3 Comments

  1. Mbona umembania mpambaji hujaweka ni nani? Tisha sana aliyempamba Bi harusi amewekwa make up lakini ametoka naturally halafu amependeza sana. Watu hawajui kuwa too much make up inamfanya mtu aonekane mzee.

    ReplyDelete
  2. bi arus ni kichuna, hongera saaaana

    ReplyDelete
  3. Ni kweli, make up imetulia ila hatujamuona bi harusi mpaka chini mbona umembania?

    ReplyDelete