NEEMA's KITCHEN PARTY!!!!!

Bride                   ::Neema
Event                   ::Kitchen Party
Venue                  ::Kwalalumpa Hal
Cake                    ::
 Color                  ::Blue, Yellow & Red
Makeup               ::Lulu Saloon
MC                       ::Dida
Still Picture        ::Mashughuli Media Pro.+255655426100
NEEMA's KITCHEN PARTY, PAMBE KWA SANA, MWARI WAKE MARIAM KIKULA, MAMA YA MK, MAAGENT WA BANDARI MWENDO HAUBADILIKI, KHADIJA KOPA NA MISAMBANO LIVE, KATA MTI PANDA MTI WANASEMA NDIO MWENDO SHEREHE....

 MC DIDA....
NEEM AKIINGIA UKUMBINI HAPANA CHEZEYA PENDEZA KWA SANA
SOMA NA KAMPANI YAKE MAAGENT WA BANDARI WAKIMFICHUA MWARI
 CHEZEYA SOMO MARIAM MUKE YA MASOUD KIULA.... 
INTRO....
DECOR....
 ZAWADI
CAKE
NYOTA ALIIMBA LIVE WAKATI NEEMA ANAKATA KEKI
  MWARI NA SOMO....
UMENIONA???
BURUDANI
MALKIA WA MIPASHO UMEUWA NDEGE WAWILI KWA JIWE MOJA EEH!!
 BI ARUSI AKIRUSHA ROHO, HAPANA CHEZEYA
 
 MISAMBANA AKITAMBA NA ASUUU MIAKA 800
NEEMA AKIINGIA NA NGUO YA PILI
HAPANA CHEZEYA
CHAKULA
 ALIANZA SOMO KUPELEKA ZAWADI
 SOMO AKIKOSHWA NA MWARI
 MAMA NA NEEMA WAKIMSHUKURU SOMO MARIAM, MAMA MK COMPANIES
 MAMA MZAZI AKIPELEKA KAPU LAKE
 MAMA DULLA NA KAMPANI YAKE AKIMKOSHA NEEMA
 MAAGENT WA BANDARI WAKIMKOSHA MWARI WA MWENZAO MARIAM MASOUD
 WAKAMKOSHA KWA DOLLAR HAPANA CHEZEYA MAAGENT
 MWENDO WA DOLLAR
 MAMA MZAZI AKIMKABIDHI BINTI YAKE BAHASHA YENYE 1-MILLION
KAMATI IKIKABIDHI VYOMBO
NEEMA AKIMTUNZA NYOTA 
NEEMA AKITUNZWA.....

NYUSO
MAMA MZAA CHEMA
MARIAM MASOUD, SOMO WA UKWEE'E, MAMBO YAKE KIMYA KIMYA, ROHO YAKE MASHALLAH, UNA BAHATI NEEMA KUMPATA SOMO HUYU!!!!
JOYCE, MY WII
SALMA MSANGI & NEEMA
BESTIES....
 NYOTA & SALMA
MAAGENT BANDARI MKO JUUU TISHA....
MWANAIDI & MAMA DULA
 NYOTA, SALMA & NEEMW
DIDA, SALMA & FRIEND
NYOTA & BI ARUSI
MAMA NA MWANA
NEEMA & SUBIRA
NEEMA, SUBIRA DESIGNER & FRIEND
BESTIES
RED CARPET
 


Post a Comment

2 Comments

  1. Wamependeza wote ila Bibi harusi kafunika ukumbi, na hii ndivyo inavyotakiwa. Joyce Dennis tutafutane basi wangu? Tangu enzi za secondary kwa Sir Nkini jamani.....!! Ahsante Mashuguli kwa kuwakilisha. Binafsi nakubali kazi zako.

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete