PERPETUA's KITCHEN PARTY!!!

Bride                               ::Perpetua (Neema)Rusage
Event                              ::Kitchen Party
Venue                             ::Kwalalumpa hall
Color                              ::Hot Pink & Lightblue
Makeup                          ::Gloria

Still Picture/Video         ::Mashughuliblog - +255655426100
YEEES!!! TWAKAMILISHA ILE KITCHEN PARTY YA PERPETUA A.K.A PEPE, PENDEZA SANA MAMBO NDANI SI MCHEZO, HAYA NI MAMBO MAZURI YALIFANYWA NA WIN GROUP KWA MWANACHAMA MWENZAO PEPE, WATU WALICHANGAMKA SANA, SARE ILIFUNIKA UKUMBI MZIMA,  NAWAPA HONGERA SANA KWA KWENDA SAMBAMBA NA MUDA KWENYE SAA NNE TULIMALIZA SHUGHULI, HONGERA MC VERO....

KAZI YETU YA STILL PICTURE CALL US +255655426100
MC VERO AKIFANYA YAKE....
 PEPE AKIINGIA UKUMBINI....
 MAMA AKAMPOKEA BINTI YAKE
MWENYEKITI AKIKARIBISHA WAGENI
ZAWADI
PEPE AKIFICHULIWA....
 WIN GROUP WALIANZA KUMFICHUA KWA MADOLLAR
 KISHA WAKAPATA PICHA YA BONGO SWAGGA
 WAZAZI WAKIONGEA NA PEPE
 PEPE AKIPAKWA UPAKO WA NGUVU.....
 CAKE
 CHAMPAGNE
BURUDANI
PEPE AKIPEWA ZAWADI
 MAMA AKISINDIKIZWA KUKABIDHI KAPU LAKE
 MAMA AKIKABIDHI KAPU KWA BINTI YAKE
 KISHA MAMA MKUBWA AKALETA SANDUKU
 
 MAMA AKAMWAMBIA PEPE BADO.....
NAKUPA NA KABATI LA NGUO
BIG HUG TOKA KWA BINTI
 WIN GROUP WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI KUTOA ZAWADI


WALIANZA KUMKAIDHI DINNING TABLE
WAKIMKABIDHI GAS COOKER
 MDOGO WAKE PEPE AKIKABDHI DRESSING TABLE
 AKIKABIDHIWA WATER DESPENSER
WANACHUO WALIOSOMA WOTE CBE WAKIMPA ZAWADI
PEPE AKIMPA MAMA ZAWADI
 AKAMFUNIKA MAMA KWA KITENGE
KISHA AKAMVISHA MKUFU MADINI
 PEPE AKITOA ZAWADI KWA WANACHAMA WENZAKE WA WIN GROUP
WANARINGAJE NA ZAWADI ZAO
 MAMA AKITUNZWA
 WANAKAMATI WAKIKABIDHI ZAWADI YA WAALIKWA WOTE KWA NIABA YA KAMATI
CHAKULA
NYUSO
MAMA MZAZI
WAZAZI
CBE CREW AMINA, RADE & RAYA
RADE
MAMA MZAA CHEMA
PENDEZA KWA SANA TU
RADE, AMINA & FRIEND
PENDEZA EEH!!!
RED CARPET

Post a Comment

4 Comments

 1. mashughuli oyeeeee.......... kazi nzuri sana.
  dada mashughuli mbona hujatokelezea? make najua unapendasana vazi la kilemba au hakupatikana mtu wa kukuphoto????

  ReplyDelete
 2. Ongera sana mashughuli umeitendea haki shughuli ya best wangu... pict nzuri na guality saaafi... big up bi harusi.. ukawe na ndoa tulivu... mungu ndio kila kitu atakushindia pepetua.. penda wewe saana

  ReplyDelete
 3. nilipenda hii kwa kweli, Mungu awabariki marafiki wa bi harusi kwa kweli mmejitoa mno, tuli enjoy........nimependa sare yenu supeeer

  ReplyDelete
 4. Jaman nimesikitika nasikia huyu Pepe amefariki

  ReplyDelete