PERPETUA's SENDOFF PARTY!!!!

Bride                              ::Perpetua (Neema)Rusage
Event                              ::Sendoff Party
Venue                             ::Mirado Hall
Color                               ::Hot Pink, Purple, Gold & Cream
Makeup                          ::Gloria
Still Picture/Video           ::Mashughuli-blog - +255655426100
YAP NI YULE BI ARUSI PEPE, NA HII NI SENDOFF PARTY YAKE, WIN GROUP WAENDELEZA KUPENDEZA KWA KWENDA MBELE...!!! BI HARUSI KAPENDEZA SANA....!!!!

PICHA ZA ALBAMU ZIMEFANYWA NA MASHUGHULIBLOG TUPE KAZI TUTIMIZE ILE NDOTO YAKO PIGA +255 655 426 100
MC CHENI...////
UNAJUA WAPI NINAPOKUPENDEA MC CHENI?? KWANZA NI KWENYE ZAWADI ANAANDIKISHA VIKUNDI NA SIO MTU MMOJA MMOJA, PILI KWENYE MZIKI BWANA WATU WANACHEZA NA DJ WAKE KIBOKO...!!!
PEPE AKIINGIA MIRADO
DECOR....///
CAKE
WIN GROUP WANAHAKI YA KUPATA KEKI JAMANI.....!!!
CHAMPAGNE
BURUDANI
 PEPE AKIMSAKA MCHUMBA....
WIN GROUP WAKISINDIKIZA PEPE KUMPATA MCHUMBA
PEPE ALIKUWA NA AIBU MBELE YA MCHUMBA
PEPE AKIMVISHA SAA MCHUMBA WAKE, MUDA MUDA TUENDE NA MUDA MUHIMU...
CHAKULA
ZAWADI
WIN GROUP WAKIENDELEA KUMPA ZAWADI PEPE
NYUSO
MAMA MZAA CHEMA
RADE & AMINA BEST FRIEND FOREVER!!!
RED CARPET

Post a Comment

5 Comments

 1. Pendeza sana pepe iyo nguo umeitendea haki imekukaa vema

  ReplyDelete
 2. MashaAllah. Biharus anasmile face ...yaani mwanzo mwisho full kusmilee...hongeraa sana...

  ReplyDelete
 3. kidogo niseme Hadija Kopa duu pendeza sana CUTE SMILE

  ReplyDelete
 4. he wakuli na huyo nani pembeni apo????????????????????

  ReplyDelete