PRINCE ONOBERE & PRINCESS SHAMIM WEDDING RECEPTION!!!!!

Bride                     ::Shamim M. Magoma
Groom                  ::Prince Onobere k. Saiki        
Event                     ::Wedding Reception
Venue                    ::Mirado Hall
Color                    ::Yellow, Red & Royal Blue
Makeup                ::Maznat Bridal

Still Pics &Video   ::Mashughuli Media Production - +255655426100
PRINCE ONOBERE K. SAIKI & PRINCESS SHAMIM WAKAMILISHA TARATIBU ZOTE ZA KUFUNGA NDOA, SHAMIM BINTI WA KITANZANIA ALIYEOLEWA NA PRINCE ONOBERE TOKA NAIGERIA, ILIKUWA NI SHEREHE YENYE FURAHA, WAWAKILISHI TOKA NAIGERIA AKIWEMO QUEEN NA KAKA, DADA YAKE PRINCE WALIJUMUIKA PAMOJA, BRIDE & GROOM WAMEPENDEZA SANA..., MASHUGHULI MEDIA PRODUCTION TULICHUKUA MATUKIO YOTE YA VIDEO & STIL PICTURE

MC EPHRAIM KIBONDE
PRINCE ONOBERE & PRINCESS SHAMIM WAKIINGIA UKUMBINI
 
 ANKAL JAMAL AKIWAPOKEA MAARUSI
DECOR.....///
INTRO...///
JAMAL, ANKAL WAKE PRINCESS SHAMIM AKIITAMBULISHA FAMILIA
 
 SECRETARY WA KING AKITOA INTRO KWA FAMILIA
CAKE
 CHAMPAGNE
BURUDANI
MAARUSI WAKIFUNGUA MZIKI, SOMO YAKE PRINCESS SHAMIM AKIIMBA LIVE...
PRINCESS SHAMIM AKIMTUNZA SOMO YAKE NYOTA
CHAKULA
ZAWADI
 ZAWADI TOKA NAIGERIA
RET. J.D. MAGOMA & MKEWE WAKIWAPA BARAKA WATOTO WAO
ANKAL JAMAL AKIMSHOWER PRINCE ONOBERE MIHELA
KAKA YAKE PRINCE ONOBERE AKIMSHOWER PESA, PRINCESS SHAMIM
 ANKAL JAMAL AKIMVISHA SECRETARY WA KING KIKOI
 QUEEN AKIKABIDHIWA DIRA NA MTANDIO
 MAMA MZAZI WA SHAMIM NA NDUG ZAKE WAKITOA ZAWADI KWA QUEEN
 AKIKABIDHIWA SET YA VIKOMBE VYA CHAI ILIYOTENGENEZWA KWA MPINGO
 QUEEN AKISHUKURU
 BABA MKUBWA TOKA NAIGERIA AKIMPOKEA ZAWADI YA KANZU
 KAKA YAKE PRINCE ONOBERE AKITUNZWA KANZU, NA KAKA YAKE SHAMIM NA MKE WAKE
 ANKAL JAMAL NA MKEWE HAWA WAKITOA ZAWADI
 HAWA ALIWAKABIDHI SWEET ZA KULA WAKATI WAKO HONEYMOON NA KINYAGO CHA MWANAMKE ALIYEBEBA MZIGO KICHWANI NA MTOTO MGONGONI, AKIMAANISHA MWANAMKE UNATAKIWA KUFANYA KAZI NA KUTUNZA FAMILIA....
 WAKAWATUNZA MAMA NA BABA MAGOMA
 WAKIMTUNZA QUEEN, MAMA YAKE PRINCE ZAWADI YA KITENGE
HAWA, MKE WA UNKAL WAKE PRINCESS SHAMIM JAMAL AKITOA ZAWADI YA KHANGA KWA DADA YAKE PRINCE ONOBERE, AKIMUONYESHA INAVYOVALIWA
 SECRETARY AKITOA SHUKRANI
DADA YAKE PRINCE ONOBERE AKIWASHUKURU FAMILIA YA MAGOMA KWA ZAWADI
 PRINCE ONOBERE AKIMSHOWER MAMA MKWE MAPESA
RAFIKI WA PRINCESS SHAMIM WALIOSOMA NAYE INDIA WAKITOA ZAWADI
 
 KAMATI IKITOA ZAWADI
 M-KITI AKICHOP MONEY HAPANA CHEZEYA...MILLION 3
NYUSO
 WAZAZI WAKE RPINCESS SHAMIM 
MAMA MKUBWA & MDOGO
MAMA MKUBWA TOKA MORO
SISTERZ FOREVER MWANAKOMBO & HALIMA
JAMAL NA MKEWE KIPENZI HAWA
 HAMIDA & HUBBY HUBBY
WAGENI WA NAIGERIA
WAZAZI
 NIMEPENDA HII PICHA...
SHERRY & MWANAKOMBO....!!!
SISTERZ....HAWA & MUHAZA
SOPHIA & SHERRY
MASOMO NYOTA & SALMA
WAGENI TOKA NAIGERIA
BLACK IS BEAUTY MAMA MDOGO
HAWA & DADA ZAKE HAWA & MUHAZA
MAHAMOOD & SALHA
QUEEN, MAMA YAKE PRINCE ONOBERE
SECRETARY YA KING TOKA NAIGERIA
KAKA YAKE SHAMIM & WIFE
HAWA MUKE YA JAMAL...
FAMILY
MWANAMKE HINNA
SISTERZ HAJARY & HAWA
MAMA WADOGO WA SHAMIM
HAMIDA & HUBBY HUBBY
 BABA MZAZI WA SHAMIM
RED CARPET
 

Post a Comment

6 Comments

 1. Mashallah bwana na bi harusi wamependeza watu wote kweli wamependeza lkn dada helen tuwekee na picha za ndoa bac?

  ReplyDelete
 2. Mrembo Binti ajitahidi kubaki na Rangi yake, Mungu awaweke vyema katika ndoa.

  ReplyDelete
 3. Bibi harusi kapendeza sanaaa hadi raha makeup imetulia

  ReplyDelete
 4. Mashallah Mungu wajaalie maharusi ndoa yao na waje wapate watoto wema. Ameen Inshallah!

  ReplyDelete
 5. Wametoka mblali hawa huko bangalore india tukisoma mpk kuwa wana ndoa kweli ndoa huandikwa mbinguni

  ReplyDelete