SALIM & KULTHUM WEDDING RECEPTION!!!!!

Bride                             ::Kulthum
Groom                           ::Salim
Event                             ::Wedding Reception
Venue                             ::77 hall
Color                             ::Green Apple, Red & Yellow
YES SALIM A.K.A MANYWELE KAKAMILISHA LILE ZOEZI LAKE NA HII WEDDING RECEPTION YA SALIM & KULTHUM, SALIM NI MFANYAKAZI WA MICHUZI MEDIA GROUP.....

MAARUSI WAKIINGIA
DECOR...///
INTRO....
CAKE
CHAMPAGNE
BURUDANI
MAHARUSI WAKIFUNGUA MZIKI
 ZAWADI
NYUSO
WAZAZI WA SALIM
DADA WA BI HARUSI
 MICHUZI & WAIFU
HAMIS MAKUKA & MKEWE DR....!!!
 
MAHARUSI & MRS. MAKUKA
NA WEWE NDIO HAPA???
SALIM & MZAA CHEMA WAKE
SALIM & KULTHUM NA MAMA MZAZI WA BI HARUSI
THIS IS NICE PHOTO CAUSE I SEE MY BROTHER JOHN!!!
WANTED, MASHUGHULIBLOG PHOTOGRAPHER & MAHARUSI
SAM GENIUS & PAPA 
RAMA & FRIEND
MC HELLEN
WAZAZI
BROTHERS
BWANA HARUSI SALIM & MAMA MICHUZI
KULTHUM & DADA
RED CARPET


Post a Comment

3 Comments

  1. bwana harusi kavaa mlege hadi siku ya harusi khaaa

    ReplyDelete
  2. Bibi harusi,mwa,mwa,mwa.make up imetulia,hajajazwa marangi rangi.pozi za picha ndio mwenyewe,wanja umepakwa vizurii kabisa.tatizo bwana harusi hizo nywele bwana angekata,sijui anasuka,siku huyo akaamua kupiga afro.ila bi harusi Ni basmati,hapo ukizaa mwili huo unafutuka,mwenyewe hapo mzuuri kabisa

    ReplyDelete