SHAMIM's KITCHEN PARTY!!!

Bride                               ::Shamim Magoma
Event                              ::Kitchen Party
Venue                             ::Rombo Green View Hotel
Color                             ::Hot Pink, Brown & Yellow
Cake                               ::Happines House of cake
Makeup                          ::Maaznat
Still Picture/Video          ::Mashughuli-blog - +255655426100
Mc                                  ::Jamila Kitimtim
YES!!! NI SHAMIM's KITCHEN PARTY BINTI MREMBO, KAANZA SWAGA ZA HUKO AOLEWAPO HAPA HAPA....!!! BINTI MWENYE BAHATI ANAOLEWA NAIGERIA NA MTOTO WA KING...!!! PRINCE ONOBERE K SAIKI, SO NAIGERIAN WAKO HAPA KUCHUKUA JIKO LAO. MASOMO PAMBE WAMEFANYA KAZI SAWA SAWA...!!! MAMA MAGOMA TISHA..

MAMA NA MWANA
MC JAMILA....
WAZAZI WAKIINGIA UKUMBINI
MAMA MZAA CHEMA...!!!, 
SHAMIM AKIINGIA UKUMBINI....
MAMA AKIPOKEA BINTI YAKE
SHAMIM AKITAMBA NA PAMBE YA SOMO YAKE
MAMA MDOGO SALMA KUWINGWA AKIFUNGUA KWA DUA...
M-KITI AKIKARIBISHA WAGENI
DECOR....
 MASANDUKU YA MAMA
UKIFUNDWA NA MASOMO PAMBE WA MJINI LAZIMA UFICHULIWE
CAKE
MAMA NA MWANA
CHAMPAGNE
BURUDANI
KHADIJA KOPA AKIRUSHA ROHO....
NYOTA NAYE AKAIINGIA.....SOMO YAKE SHAMIM
DESIGN BY JOHA SIMBA +715 612 954
CHAKULA
ZAWADI
MAMA AKIPELEKA SET YA DHAHABU
MAMA MKUBWA SAIDA NA MADINI
MAMA MDOGO SALMA KUWINGWA AKIMVISHA PETE YA DHAHABU BINTI YAKE
MAMA MAGOMA NA UZAZI WAKE MWENYEWE
MAMA MKUBWA SAIDA AKIMKOSHA BINTI YAKE DOLLAR
MASANDUKU HAYO....
MAMA MAGOMA AKIKABIDHI ZAWADI
MWENDO WA MADINI...
HAWA NA RAFIKI ZAKE TOKA WIZARA YA ARDHI WAKIMTUNZA SHAMIM MADINI MADINI, MDOGO WANGU UKO FIT
SOMO AKIMTUNZA MWARI
MASOMO WAKIMTUNZA MWARI MADINI
SOMO AKIMVISHA MWARI ....
WANAFUNZI WENZAKE SHAMIM WALIOSOMA NAYE INDIA WAKIMPA ZAWADI
BONGE LA WIFI....HAPANA CHEZEYA..
HAWA AKIMFUTA JASHO WIFI YAKE KIPENZI MAMA MAGOMA, NDUGU ZAKE WAKIMSINDIKIZA...
SHAMIMU AKIKABIDHIWA VITABU VYA DINI
WANAFUNZI TOKA UDSM NA ASYIA WAKIMPA ZAWADI SHAMIM
HAWA MOHAMED KIHAGO MUKE YA JAMAL KIWANGO AKIKOSHWA NA NDUGU ZAKE..... FAMILIA YA KIHAGO
SHANGAZI AKIMTUNZA WIFIE
WAZAZI WAKIKABIDHI ZAWADI KWA NIABA YA WANAKAMATI
SHAMIM NA MAMA WAKIMKOSHA SOMO
NYUSO
MAMA MAGOMA NA BINTI ZAKE....!!! MASHALLAH
MAMA SAIDA KUWINGWA
SALMA KESSY NA DOGO LAKE
SISTERZ FORVER
NIMEPENDA SANA ALIVYOVAA, MAMA MKUBWA SAIDA KUWINGWA, TOKA MORO AL-MAARUF MAMA SADALLAH
MRS. KUWINGWA PENDEZA SANA
HAWA...!!! SIE WATANGA TWAMUITA MKAZA MJOMBA...!!
HAMID & KHADIJA KOPA
SOMO NYOTA ABDALLAH PAMBE SANA
ASYIA MDOGO WAKE BI ARUSI & FRIEND
ASYIA MDOGO WAKE BI ARUSI NA RAFIKI ZAKE TOKA UDSM
GELLE MAMA GELLE MAMA EEEH!!!
MAMA MZAA CHEMA-SHANGA YA MAMA SHINGONI TOKA MASHUGHULI HOUSE OF FASHION....KUONA ZAIDI ACCESSORIES
HAJARY & SHARIFFA
MIE NA DADA ZANGU...!!!
RED CARPET
MAMA MDOGO SALAM, MAMA MZAZI & MAMA MKUBWA MAMA SAIDA-SISTERZ
HAWA MKE WA JAMAL KUWINGWA WIFI WA UKWEE'E NA WIFI ZAKE 
SISTERZ
SOPHIA, HAJARY, HELLEN, HAWA & FRIEND

Post a Comment

0 Comments