SHUMBANA's KITCHEN PARTY!!!!

Bride                     ::Shumbana James
Event                     ::Kitchen Party
Venue                    ::Danken House
Cake                     ::Party Box
Color                    ::Purple, Hot Pink
Makeup                ::Glambox
Décor                   ::Party Box
Dressedby            ::Kikisfashion
MC                       ::Mishy Bomba
Still Picture          ::Salehe - +255767437859
YEEES!!! NI KITCHEN PARTY YA SHUMBANA A.K.A SHUU, MAMBO YANATISHA, SHUU KAPENDEZA SANA, SARE YAFUNIKA, NIMEPENDA SANA COLORIZATION KWENYE HII SHUGHULI, BI ARUSI KACHANGAMKA, MALKIA KHADIJA KOPA KATOA BURUDANI....!!! !!!

MC MISHY
 MISHY KAZINI MANENO KIDOGO KAZI ZAIDI NAKUAMINIA....
SHUU AKIINGIA
WAZAZI WAKIINGIA
 DUA,,,,!!!!
AMINAA....!!!
SHUU AKITOA UTAMBULISHO..
DECOR...///
ZAWADI YA KAMATI
CAKE
DIVAS WAKIFUNGUA CHAMPAGNE
BURUDANI
MALKIA KHADIJA KOPA AKITOA BURUDANI
CHAKULA
ZAWADI
MAMA MZAZI AKIPELEKA SANDUKU LA BINTI YAKE
BIBI AKIKABIDHI KAPU
WAFANYAKAZI WENZIE MAMA MZAZI WAKIKABIDHI ZAWADI
MAMA SEPETU NA JEMEDARI GROUP WKIKABIDHI ZAWADI
DSTV WAKIPELEKA ZAWADI
TALHA, TOKA DSTV, WAKIKABIDHI ZAWADI KWA MFANYAKAZI MWENZAO
KAMATI IKIENDA KUKABIDHI ZAWADI YA BEDROOM SET, HAPANA CHEZEYA
BIBI AKIKOSHWA NA WAJUKUU
MAMA SEPETU NA KIKUNDI CHAKE JEMEDARI WAKIMKOSHA NURU
NURU AKIKOSHWA NA BINTI YAKE
KISHA AKAMTUNZA MAMA JISET MADINI
SOMO YAKE NURU, MARIAM MNTAMBO AKIMKOSHA MWARI
WANAKAMATI WAKIMKOSHA NURU
MARIAM AKIMTUNZA NURU
SHUU & FRIENDS WAKIMTUNZA MAMA
BIBI, MAMA SEPETU AKIPEWA ZAWADI
SOMO AKIMTUNZA MWARI WAKE SHUU
NYUSO
BESTIES & SHUU
MAMA MZAZI & FRIEND
SAMEERA, MARIAM & MWARI WAKE MARIAM
TALHA....
MAMA NA MWANA
NURU, NOUR & MASHA
MAMA NA MWANA
FATHIYA
PENDO & FRIEND
DIVA DEVOTA & FRIENDS
WEMA, PENNY, JUNAITHA & MIRIAM
MARIAM & BI KHADIJA
MIRIAM & NURU
MIE, VISA & FATHIYA
PENNY, WEMA & SHUU
WEMA & SHUU
NURU & VISA
WEMA...!!!
BESTIES!!!!
MASHA & NOUR AZIZ
LADIES!!!!
NURU SEPETU, SHUGHULI PAMBE KWA SANA
SHUU & NURU (MAMA MLEZI)
SOMO....
SHUU & BIBI KIPENZI
TISHA....,,!!!!
MAMA SEPETU
CAMERA WEMON!!!
MADAM......!!!!!
WANA JEMEDARI GROUP
RED CARPET
 


Post a Comment

13 Comments

 1. Everything was perfect.....hongera mamy Nuru Sepetu

  ReplyDelete
 2. very nice picture, hongera kwa kazi nzuri.

  ReplyDelete
 3. very nice,colors zimevutia sana

  ReplyDelete
 4. waalikwa wamependeza balaa,ila umetunyima mishono,picha za full hujaweka tuone mishono ya ukweli.

  ReplyDelete
 5. RUKIA ABDUL NZALAWAHENovember 27, 2014 at 2:18 AM

  WISH HER ALL THE BEST.....SHE IS A GOOD GIRL I KNOW HER.... LUV YU SHUDEEE

  ReplyDelete
 6. RUKIA ABDUL NZALAWAHENovember 27, 2014 at 2:19 AM

  WISH YU ALL THE BEST SHUDEE... LUV YU AS ALWAYS

  ReplyDelete
 7. mashallah shumbana ulipendeza sana hope now umeacha ugomvi eeeh ahaahhah i wish nikuone its me Rahma from Al Madrasat Islahiya Sinza Palenstina kwa shekhe Abdillah Malange

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndo tukuone unamjua sana au. Acha mambo ya kitoto na jifunze matumizi ya mitandao. Kama una la kumwambia mtafute mwenyewe ukiangalia vizuri wameweka picha tu bila maelezo. Jitafakari na uchukue hatua. Siku ingine usiweke details saloon hivyo Hii ni blog sio Facebook. Mbona hujamuekea namba yako ya simu sasa. Hovyoo

   Delete
  2. Nimemaanish namba zap simu

   Delete
 8. MASHAALLAH TUNAWEZA NA TUNAJIWEZESHA KILA LA KHERI NA UFUNGUE MILANGO KWA WALOBAKI. NIMERUDIA KUANGAIA . WOTE PENDEZA SINA PA KUKOSOA

  ReplyDelete
 9. KWA KWELI SINA NENO, BINTI NI CUTE, KAMA HAITOSHI MPAMBAJI BI HARUSI MTARAJIWA KATENDA HAKI, JAMANI NI NZURI SAAANA. ALL THE BEST BABY.

  ReplyDelete