TANGAZO LA MSIBA-ESSACK SULEIMAN!!!

FAMILIA YA FEREJ WA MTAA WA ILALA BUNGONI WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MKWE WAO ESSACK SULEIMAN (PICHANI), KILICHOTOKEA NOVEMBA 15, 2014 JUMAMOSI HUKO MPANDA KWA AJALI YA GARI
MAZISHI YAMEPANGWA KUFANYIKA LEO TAREHE 16, NOVEMBA 2014 JUMAPILI BAADA YA SWALAT A'LASIR KATIKA MAKABURI YA KISUTU
ATASALIWA KATIKA MSIKITI WA SHADHIRY
HABARI ZIAWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO, MSIBA UPO ILALA BUNGONI MSAADA GARAGE

INALILAHI WAINAILAIHI RAJIUN!!!


Post a Comment

3 Comments

 1. inna lilah waina ilaih rajiun dadangu fadya ferej mungu akupe nguvu ulie kwa iman ktk kipindi hiki kigumu

  ReplyDelete
 2. inna lilah waina ilaih rajiun inshaalla dada angu fadya mungu akupe iman na kustahmili ktk kipindi hiki kigumu amin

  ReplyDelete
 3. Innalilah wainna ilayhi rajiun..
  Pole san my fadya Allah akupe subra n akutie nguvu ktk kipindi hchi kigumu....polen sana familia y ferej wte....

  ReplyDelete