BIRTHDAY PARTY, HASSAN & KHADIJA!!!

Boy                        ::Hassan Dilunga
Girl                        ::Khadija Dilunga
Event                     ::Birthday Party
Venue                    ::Msasani Tower
Colour                  ::Black & White
Mc                        ::Jamila Kitimtim-+255655374440
Photo-Credit       ::Tick Video Production-+255713269940
EEEH NDIO HII SIO SENDOFF WALA KITCHEN PARTY, NI BIRTHDAY PARTY YA WATOTO WA TANT BOY YULE WANAMUITA SUPER STAR, ALIWAFANYIA WATOTO WAKE SHEREHE YA KUZALIWA KWAO YA KUTISHA, LIVE BAND TAARABU, VINYWAJI NA VYAKULA VYA KUMWAGA, NYAMA CHOMA, AWATUNZA WATOTO WAKE GALAXY NOTE 3 NA KUWAMWAGIA MAHELA, UKIJA KWAKE TANT KAKOSHWA KAONDOKA NA MFUKO UMEJAA PESA, ZAMA NDANI UJIONEE MAMBO YA MJINI

HASSAN
HASSAN & KHADIJA (KAKA NA DADA)

MC-JAMILA KAMA KAWAIDA YAKE...
WAKIINGIA UKUMBINI
KAKA AKIINGIA UKUMBINI
KISHA KHADIJA AKAIINGIA AKISINDIKIZWA NA MAIDS
MAMA AKAWAPOKEA WAGENI
TANT AKIKARIBISHA WAGENI
DECOR......///
CAKE
WAKIKATA KEKI PAMOJA
WAKIWALISHA WAZAZI WAO
BABA NA MAMA WAKIKABIDHIWA KEKI
WAKIMLISHA BIBI
KAKA NA DADA WAKILISHANA KEKI
KHADIJA ALIHUSIKA KUFUNGUA CHAMPAGNE
BURUDANI
USTAADHI LIVE BAND IKITOA BURUDANI
ZAWADI
TANT ALIANZA KUWAPA WANAWE ZAWADI YA SIMU GALAXY NOTE 3
AKAMVISHA HASSAN MADINI
AKIWAKABIDHI LAPTOP
KISHA AKAWAPONGEZA KWA PESA
SITTU AKIMTUNZA SHOSTITO TANT


BI LILLY NA FAMILIA YAKE WAKIMKOSHA TANT
ILIKUWA NI KAZI YA KUOKOTA PESA NA KUWEKA KWENYE MFUKO
TATU, HAFSA & MARIAM BEST WAKIMKOSHA TANT
MWANAIMA NA KAMPANI YAKE WAKIMKOSHA TANT
MAMA TANT AKIFANYA VITU VYAKE
HUSNA MADENGE AKIMKOSHA TANT
ZAMU YA JOSE 
JOHA KABOTOKA AKIMKOSHA TANT
ANKAL YAHYA AKIMKOSHA TANT
KHADIJA AKIMSHKURU MAMA YAKE
TATU LUMELEZ AKIBEBA MFUKO WENYE PESA
CHAKULA
NYUSO
MWANAIMA & SITTU
SITTU NA WANAWE
TANT BOY MAMA MZAZI WA HASSAN & KHADIJA
BABA NA BINTI YAKE
KHADIJA MNYIKA & FRIENDS
JOSE & FRIEND
SHOSTITOS
MIZE, MWAJUMA NDUNDU & MARIAM MKWECHE
NAIMA & FRIENDS
WAGE's FAMILY....
JAMILA, TANT & FRIEND
SITTU MWASU, HONGERA MWENYEKITI KWA KUSHINDA KWA KISHINDO
TATU LUMELEZI
JAMILA, TATU & HAFSA
HASINA & HUBBY, SABRINA PEMBENI
KHADIJA & MAMA TANT
TATU
TANT & TATU SHOSTITOS

NAKUONA MAMA YA VERO SALOON
RED CARPET
 
Post a Comment

3 Comments

  1. hii sijawahi kuona kwa kweli, kweli wabongo wanapenda shughuli.... imependeza sana. nasubiria harusi ikifika nione mapigo yake kama birthdaay ni hv harusi patakua hapatoshi.

    ReplyDelete
  2. khaa mujini kweli shughuli

    ReplyDelete
  3. Makeup ni nzur but wangewapaka mpka na shingoni na mikon coz usoni wanang'aa afu mikonon weusi xjapenda.But anyway the whole thing was great!!Ni maoni yangu

    ReplyDelete