DESIGNER ASYIA IDAROUS 55 YRS BIRTHDAY PARTY!!!!!

MBUNIFU MKONGWE WA MAVAZI ASYIA IDAROUS ASHEREKEA SIKU YA KUZALIWA NYUMBANI LOUNGE M.O.G BAR, NI MIAKA 55 HONGERA, HONGERA SANA!!! MWENYEZI MUNGU AKUPE UMRI MREFU ZAIDI, 55 YEARS OF AGE & STILL GOING STRONG!!!!!

HBD DESIGNER MKONGWE ASYIA!!!
AKIWALISHA WABUNIFU CHIPUKIZI....
 HELLEN
HALIMA KAMUSI 
ASYIA AKIWALISHA WAPENZI WAKE KEKI
BILAL 
MODAL FIDERINE
SUPA AKIILISHWA KEKI
BURUDANI
DSIGNER ASYIA AKIIMBA "NI RAHA YA MOYO WANGU" SPECIAL REQUEST TOKA KWA MUME KIPENZI KHAMSIN
NYUSO
HALIMA, MYSELF & UNDER RATED
ME & HALIMA, PLEASE USINICHEKESHE TENA
ASYIA & DESIGNER MARTIN KADINDA
HALIMA, ASYIA, JASMINE  FRIEND
RED CARPET
 

Post a Comment

3 Comments

  1. ASYA 55 B/DAY!!!!!!!!?

    ReplyDelete
  2. hawa wanaume wa kwenye birthday mh majanga

    ReplyDelete
  3. asante kwakuniwekeea dada fide iranga ambaye sijamwona for a long time na bado mrembo nampenda sana dada fide iranga by the way birthday imependeza na mwenye birthday huwezi amini kma amefikisha hiyo miaka bado she lookig younger GOD BLESS HER WISH U MORE YEARS

    ReplyDelete