FARIDA's KITCHEN PARTY!!!

Bride                    ::Farida Mponda
Event                    ::Kitchen Party
Venue                   ::Lulu Hall
Makeup                ::Glambox
Colour                 ::Purple, Pink & Blue
Still Picture         ::Mashughuli Media Pro..-+255655426100
YES NI YULE BINTI MREMBO, NA  EVE-COLLECTION AKACHANGIA YEYE KUPENDEZA ZAIDI, SHUGHULI PAMBE SANA....

 
MC MARIAM MIGOMBA
AKIINGIA
DUA
 INTRO....
DECOR
ZAWADI
 CAKE
AKIKATA KEKI NA KIPENZI CHAKE BIBI
 CHAMPAGNE
 BURUDANI
 CHAKULA
ZAWADI
SANDUKU LIKISASAMBULIWA
NI MAPENZI YAKE KWAKO TU....
NANI KAMA MAMA EEEH!!!
 MAMA WADOGO WAKITOA ZAWADI
 MAMA WADOGO WAKIKABIDHI JIKO
WAFANYAKAZI WA AIRTEL, WAKIMPONGEZA MFANYAKAZI MWENZAO
 MARAFIKI WAKIKABIDHI KABATI LA VYOMBO
 MAMA SOPHIA AKIFUTWA JASHO, MWENYEKITI WA KAMATI
 HIDAYA ASPRO AKIMTUNZA  SOPHIA 
 MAMA AKITUNZWA
 DADA WAKIENDA KUKABIDHI ZAWADI


HII NDIO ILE MUACHA ASILI MTUMWA
  SHOSTITO WAKIMTUNZA FARIDA
 FARIDA ALITOA ZAWADI KWA MAMA ZAKE
FARIDA AKIWAPA ZAWADI 
 BIBI AKIPATA ZAWADI JITENGE
NYUSO
HIDAYA ASPRO, MAMA LINDA
WAZAZI
FARIDA, AKIWA NA BIBI NA MAMA MZAZI
MAMA NA MABINTI ZAKE
SISTERZ
SISTERZ
RED CARPET


Post a Comment

1 Comments

  1. bi haruc kapendeza mashaallahh,na nguo yake ni nzuri piaa...

    ReplyDelete