MSULWA & AMINA WEDDING RECEPTION!!!!

Bride                     ::Amina
Groom                  ::Msulwa
Event                    ::Wedding Reception
Venue                   ::Best Choice Tabata
Color                  ::Black, White,  Red & Silver
Makeup             ::Twaiba Saloon
MC                       ::Fela
Entertainment      ::DJ’s Music & Khadija Kopa Live
YES NI WEDDING RECEPTION YA AMINA & MSULWA, SHUGHULI PAMBE KWA SANA TU, MAARUSI PENDEZA SANA, HAYA YOTE NI HAPO BEST CHOICE TABATA

 
MAARUSI WAKIINGIA
WAZAZI WAKIINGIA SALOON
KAMATI
MWENYEKITI WA KAMATI AKIITAMBULISHA KAMATI
INTRO....
DECOR....///
CAKE
CHAMPAGNE

BURUDANI
KHADIJA KOPA NDANI YA NYUMBA AKITUPA RAHA
CHAKULA
ZAWADI
MAMA MZAZI AKITUNZWA
BIBI WAKIPAA ZAWADI ZA VITENGE
NYUSO
MAHARUSI WANGU HAO SALMA & ABDUL PENDEZA SANA!!
MC FELA & FRIEND
MAMA MKUBWA
MAMA MZAZI
 
RED CARPET

Post a Comment

4 Comments

 1. Yaani amependeza sana!! Make up....heena...the dress, amazing wallah!! Simple and beautiful. Hongerani maharusi Mungu awatangulie kwenye ndoa yenu inshaallah

  ReplyDelete
 2. Mashallah maharusi wetu walipendeza mwenyezi mungu akasimamie ndoa yao inshallah

  ReplyDelete
 3. mashallah shughuli imeenda shule.

  ReplyDelete
 4. Nimemuona Hawa Ally Nkulo...pendeza shoga angu mie na maharusi.

  ReplyDelete