NEEMA's KITCHEN PARTY!!!

Bride                     ::Neema Mroso
Event                     ::Kitchen Party
Venue                    ::MRC hall
Cake                     ::Royal Oven
 Color                   ::Blue, Yellow & Pink
Makeup                ::Dages Wedding Parlour - +255 713 413  663
Still Picture         ::Mashughuli Media Pro.+255655426100
 YES NI KUPENDEZA KWA KWENDA MBELE, BI HARUSI NEEMA KAPENDEZA, KASHINE, MAKEUP BY DAGES WEDDING PARLOUR UMETISHA KAZI NZURI, NI WALE KINA DADA WA VICTORY WOMEN GROUP MNATISHA, WENYEWE WANASEMA KASHUGHULI MMMH!!! WAMEMFANYIA MWANACHAMA MWENZAO SAFARI SARE YAO NI BLUE & YELLOW.......!!!!

NIMEPENDA STYLE BIG UP DAGE's WEDDING PARLOUR 
NEEMA AKIINGIA UKUMBINI
PICHA MNATO KWA FUJOOOO!!!!
VICTORY GROUP WAKIINGIA KUKARIBISHA WAGENI
KISHA VICTORY WOMEN GROUP WAKAKEMEA LOLOTE BAYA LISHINDWE KATIKA JINA LA YESU AMEEEEN!!!!
MWARI AKIFICHULIWA...
 BI HARUSI NEEMA AKITOA INTRO....
DECOR...///
 ZAWADI
 CAKE
VICTORY WOMEN GROUP WAKIPOKEA CAKE
NEEMA AKIONGEA KWA FURAHA JUU BEST FRIEND WAKE JULIE KABLA YA CAKE
CHAMPAGNE

BURUDANI
NAKUJUA JACKKIM UNAVYPENDA MZIKI KUMBE NA NGOMA PIA
ZAWADI
 MAMA AKIKABIDHI ZAWADI KWA BINTI YAKE
VICTORY WOMEN GROUP WAKITOA ZAWADI KWA MWANACHAMA MWENZAO NEEMA
JULIE AKIMKABIDHI RAFIKI MPENZI MWANA KIKUNDI NEEMA GAS COOKER....!!!
 
 JULIE AKIFUTWA JASHO
 EEEH!! JULIE USILIE HUO NI WEMA WAKO, HATA MIE NINGEKUTUNZA
JACKKIM AKIMUANGALIA BEST WAKE JULIE, WAKATI AKITUNZWA, MICHOZI IKIMTOKA...SO LOVELY
MAMA AKITUNZWA NA VITORY WOMEN GROUP
 NEEMA AKIMPA MAMA ZAWADI JIKO GAS
 NEEMA AKITOA ZAWADI
CHAKULA
NYUSO
BESTIES WA UKWEE'E JACK & JULIE DOUBLE"JJ"
JULIE & BI HARUSI
JULIE TOKELEZA MAKE BY DAGE WEDDING PARLOUR +255 713 413 663

MAMA NA MWANA
JULIE, JACK & FRIENDS
HAPPY PEOPLE
 VICTORY WOMEN GROUP PAMBE KWA SANA
RED CARPET

Post a Comment

2 Comments

  1. AHAAAAA SHUGHULI PAMBE SANA WATU WAMETOKELEZEA SWAHIBA WACHA KABISA HONGEREEEENI

    ReplyDelete
  2. huyo july jamani anajuaga kujitoa Mungu aendelee kukupa moyo huo

    ReplyDelete