ONJA:: FARIDA's SENDOFF PARTY!!!

ONJA KIDUCHU PICHA ZA SENDOFF YA FARIDA HAPO BEST CHOICE TABATA EVERYTHING ON POINT....

SISTERZ PENDEZA SANA
SISTERZ, FARIDA & ZUHURA
MC ANKOEL AKIENDESHA SHUGHULI KWA UFASAHA ZIAIDI, NILIMPENDA SANA KWA KWENDA MUDA NA KUWAPANGA FAMILIA KWA PICHA ZA KUMBUKUMBU


Post a Comment

2 Comments