JANET's KITCHEN PARTY!!!!

Bride                      ::Janeth
Event                     ::Kitchen Party
Venue                    ::Lion Hotel
Makeup                ::Asila Bridal - +255717616852
Colour                  ::Red, White, & Green
Still Picture          ::Mashughuli Media Pro..-+255655426100
YEEES!!! NI KITCHEN PARTY YA JANET, MAMBO PAMBE SANA, HAPANA CHEZEYA SOMO MARIAM MUKE YA KIKULA & SHANGAZI, MWENDO WA BANDARI ULE ULE, VINYWAJI VYA KUMWAGA...BI HARUSI MAKEUP BY ASILA BRIDAL NGA'RINGA'RI

MAKEUP BY ASILA BRIDAL
 MARIAM NA MWARI WAKE PAMBE KWA SANA
PURE LOVE!!!!
MC KIDE GARI KUBWAA!!!
 JANET AKIINGIA UKUMBINI
 KISHA SOMO AKAIINGIA NA PAMBE YAKE
PAMBE YA SOMO
MWARI AKIFICHULIWA
SOMO MARIAM WA MASOUD AKIMFICHUA MWARI WAKE
INTRO....////
DECOR...///
ZAWADI
CAKE
CHAMPAGNE
 
BURUDANI
 MZEE WA BURUDAN MISAMBANO
ZAWADI
JANET ALISEMA ANATAKA KUTOA ZAWADI KWANZA YEYE KWA MAMA, SHANGAZI & SOMO, NI MWENDO WA LACIE
MAMA AKIKABIDHI ZAWADI AMBAYO HAIKUFIKA UKUMBINI
SANDUKU LA SHANGAZI LIKISASAMBULIWA
SANDUKU LA SOMO LIKISASAMBULIWA
WIFI WAKIMPA ZAWADI JANET
MAMA AKITUNZWA
SOMO AKIKABIDHI JIKO
SOMO MARIAM NA KAMPANI YAKE YA WANA WA BANDARI WAKIKABIDHI JIKO KWA JANET
SHANGAZI AKIMKOSHA MAMA MZAA CHEMA WIFIYE
SOMO MARIAM HABARI NYINGINE AKIMKOSHA MAMA
MK COLLECTION WAKIONGOZWA NA MKURUGENZI MARIAM KUMKOSHA SHANGAZI
KAMATI WAKIKABIDHI ZAWADI KWA JANET
TUKIMTUNZA NC KIDE KWA KAZI NZURI....
CHAKULA
NYUSO
SOMO NA MWARI MAKOPA TELE
JANET AKIWA NA SHANGAZI & SOMO
JANET & SHANGAZI LAKE LA UKWEE'E
MAMA MZAA CHEMA

MASHALLAH JANET UMEPATA SOMO,  KAPENDEZAJE, MAKEUP BY ASILA
SHANGAZI WA BI HARUSI HUYOO PENDEZA,MAKEUP BY ASILA
MARIAM & HELLEN BESTIES!!! MAKEUP BY ASILA BRIDAL
MIE MAKEUP BY ASILA
MY WII JOYCE
SIE HAO
MARIAM SOMO & FRIEND
MAMA WA BI HARUSI & FRIEND
JOYCE & NEEMA
NEEMA & SHANGAZI WA BI HARUSI
BI HARUSI NEEMA & FRIEND
RED CARPET
KAMA UMEPENDA HII LACE NIPIGIE +255655426100Post a Comment

5 Comments

 1. Duh,nimewavulia kofia shuli pambee hapana chezea Maagen a bandari mko juu

  ReplyDelete
 2. Nasra mamie mependeza naitaka hiyo nguo nitakuibox,mmependza saaaaa aminiaaa

  ReplyDelete
 3. kitchen party ilipendeza sana

  ReplyDelete
 4. mlipendeza saaaaaaana kwa kweli nimeipenda

  ReplyDelete
 5. Pendeza sanaaaa,Lily Sai na Nasra nawapenda sanaa

  ReplyDelete