SHOMARI & SHUMBANA AQDI!!!!!!

Bride                    ::Shumbana
Groom                  ::Shomari
Event                     ::Aqdi
Venue                    ::Msasani Tower
Themed                 ::Indian
YES LEO NI AQDI YA SHUMBANA & SHOMARI, PENDEZA SANA MAHARUSI NA INDIAN THEMED, KAMA KAWAIDA BI HARUSI KAFUNIKA,YUKO  VERY SIMPLE BUT EXPENSIVE, HENNA PERFECT....

 SASHA & ODO WAKE
BWANA HARUSI AKIMPA MKONO MKEWE
 SHOMARI NA SHUMBANA WAKISAINI VYETI
 BWANA ARUSI AKIINGIZWA KULA SORO 
 BWANA ARUSI SHOMARI NA MPAMBE WAKE WAKIFUNGWA KAMBA MIGUUNI
WAKAGOMBOLEWA ILI WALE SORO NA MANYAMANYAMA
 SOMO AKITUNZWA
 MWARI AKIMKOSHA SOMO
 MIRIAM AZIZI AKIMKOSHA NURU
ASHURA AKIMKOSHA SHOSTI
 WEMA & BESTIES WAKIMKSHA DADA
 WAKWE WAKILETA SANDUKU
 
BURUDANI
CHAKULA
NYUSO
BABY SASHA.....
ASHURA......
 WEMA & AUNTY
MAMA NA MWANA
NURU & MAARUSI
MAMA MZAZI
WEMA BESTIES & MAARUSI
PENDO & MAARUSI
JUNAITHA, PENNY & MARUSI
MAMA MLEZI NURU SEPETU
WEMA
SASHA & BIBI
WEMA & MAARUSI

Post a Comment

4 Comments

  1. Jamani, ni nzuri saana, waalikwa nao Momba, Niseme ukweli jamani Bi harusi ni Cute, Black is beautifu. May you please maintain yr colour baby!!! MUNGU AKUBARIKI KATIKA NDOA YAKO, KIFO TU NDIO KIWATENGANISHE. AAMMNY.

    ReplyDelete
    Replies
    1. my classmate Shumbana, Mungu awabariki sana.

      Delete