AWADH BIRTHDAY DUA!!!

 YES, MWAKA HUU NI DUA TOKA KWA MKEWE HASINA, MAMBO YABADILIKA KILA SIKU, UTAKAVYOPENDA KUSHEREKEA SIKU YAKO, BAADA YA DUA TUKAJILIA BIRIANI YA UKWEE'E, MWISHO AKAKATA CAKE NA FAMILIA YAKE 

 RAYA & SHOSTITO HASINA
 AWADH & MAMA BI SAIDA
 BI SAIDA NA WANAWE
 LA' FAMILIA
 MAHABA NIUE
 BABA GAMSH AKIWAKILISHA 
 BAHIYA, MOI & HASINA
MIE NA SABAHA WANGU.....
 DALLAS & AWADH
 ZITO & AWADH
 MAMA NA MWANA
 CAKE
 MOVIE STAR ACTRESS ESHEBUTI AKIMPA KAKA YAKE CAKE 
FAMILY KWANZA

 DADA NURU MA BINTI ZAKE WAKIMLISHA ANKAL CAKE
 BI SAIDA NA WAJUKUU ZAKE
 MAMA MZAZI AKILISHWA KEKI
SELFIE.......
 BABILATINO & AWADH
 MOO HUYOOO!!!
BADO HAIJAKUBALI

Post a Comment

0 Comments