AYSHA & ABDULRAHAMAN ISLAMIC AQDI!!!

Bride                     ::Aysha Athuman Swaleh
Groom                   ::Abdulrahaman Juma Nkondo
Event                     ::Islami Aqdi
Venue                     ::Regent Estate
Color                     ::Green & Gold
Makeup                 ::GNG
Photo &Video       ::Mashughuli Media - +255655426100
YAP!!! BEAUTIFUL COUPLE MASHALAAH AYSHA & ABDULRAHAMAN AQDI, MAARUSI WAMEPENDEZA SANA SANA BIG UP KWA MAKEUP ARTIS GLORIA LASWAI KAZI NZURI, SITAKI KUONGEA MENGI SANA NISIJE HARIBU LAKINI PICHA ZINAONGEA....

 
BWANA HARUSI AKIINGIA NYUMBANI KUOA...
 

 NDOA IKIFUNGWA...
 BWANA HARUSI AKIPEWA HONGERA
MUME AKIMPA MKONO BI HARUSI
 MAARUSI WAKISAINI VYETI
THE FIRST MEAL BETWEEN BRIDE & GROOM SOON AFTER THE AQDI
MAHARUSI WAKIPEWA MKONO WA HONGERA
NYUSO
 SISTERZ
 AYSHA NA MAMA MLEZI RAHMA MTENGETI
 AYSHA NA MAMA ZAKE MH. MWANTUM &RAHMA MTENGETI
 MR & MRS SAID WAKIWA NA BINTI YAO
KAKA & BI HARUSI
 SHARIFA, AISHA & BI HARUSI
WEDDING SELFIE HABARI YA MUJINI
MASHALLAH BEST COUPLE, MPAKA WAMEFANANA
SHARIFFA, AYSHA & MAMA MZAZI WA BI HARUSI
SHAMTE-SISTERZ FOREVER
AISHA, KANEKA & BI HARUSI
SHARIFFA, KANEKA & BI HARUSI
MRS. SAID EBRAHIM, RAHMA SHABANI MTENGETI
 AISHA MTENGETI & BI HARUSI

ZAITUN GAO MASHALAAH, MY DADA!!!!
WEDDING SELFIE
RED CARPETPost a Comment

5 Comments

 1. Waoh!
  What a day, what a wedding! STUNNING!, beautiful!
  Hongera AISHA n ABDUL, GOD BLESS U ALL

  ReplyDelete
 2. Mashaallah nimempenda bi haruc kiukweli kapendeza xana nawatakia khery ktk ndoa yao inshaallah mungu awjalie kizazi chema

  ReplyDelete
 3. mmependeza wenyewe mashaaAllah. Mola awape ndoa yenye heri na ninyi in shaaAllah

  ReplyDelete
 4. Ngingiiiii, Umependeza hatariiiii

  ReplyDelete