IT'S COMING!!!!THIS FRIDAY 13TH,LADY IN RED!!

ASIA IDAROUS KHAMSIN WA FABAK FASHIONS WAKISHIRIKIANA NA FASHION NEWS TANZANIA WAKIONGEA NA VYOMBO VYA HABARI, LADY IN RED 2015, MGENI RASMI NI MH, SHYROSE BHANJI MBUNGE WA ARICA MASHARIKI, GUSAGUSA MIN BAND, TRADITIONAL DANCE MITINDO YA NGUO NYEKUNDU WABUNIFU MBALIMBALI WATAKUWEPO.
UKUMBI   :: MOG BAR (NYUMBANI LOUNGE)
TAREHE    :: IJUMAA 13TH FEB 2015
TIME          ::2:00 USIKU
KIINGILIO::TSHS. 10000 - KAWAIDA
                      TSHS. 20000 - VIP  

 

Post a Comment

0 Comments