LULU's SENDOFF PARTY!!!

Bride                              ::Lulumaria Kimambo
Event                              ::Send Off Party
Venue                             ::Riverside Hall
Cake                              ::
Color                             ::Turqish, Red & Gold
Makeup                         ::Center Point
Still Pics &Video         ::Mashughuli Media  - +255655426100
YES NI SENDOFF YA BINTI MREMBO LULU, NI KWELI ALIPENDEZA SANA, UKIONGEZA NA SMILE....ZAMA NDANI UJIONEEE MAMBO YALIVYOKWENDA

DECOR....
LULU AKIINGIA NA MPAMBE WAKE AKISINDIKIZWA NA KAKA ZAKE
SALA....
KAMATI
 ZAWADI ZA KAMATI
KAKA AKIMKABIDHI DADA
INTRO....
MAMA MZAA CHEMA
CAKE
WAFANYAKAZI WENZAKE TOKA TTCL WAKIPOKEA CAKE
CHAMPAGNE
 NDAFU
  BURUDANI
ZAWADI NA HONGERA KWA LULU
MAMA AKIUNZWA
 MAMA MZAZI AKISHUKURU...
LULU AKIMPA MAMA ZAWADI
LULU ANAPENDA PICHA ALIMPA MAMA ZAWADI YA PICHA
LULU AKIMSAKA MCHUMBA...
KWANZA ALIMKABIDHI PICHA WAKIWA SHULE
AKAMVISHA SAA....
CHAKULA
NYUSO
MAMA AKIWA NA VIJANA WAKE
MAMA NA MWANA...
LULU NA KAKA ZAKE
RED CARPET
KWAHERI


Post a Comment

4 Comments

 1. Harusi ni nzuri sana,bibi harusi nimpenda alikuwa simpo ana tabasamu nzuri mpaka raha. Mungu amsimamie kwenye maisha yake ya ndoa

  ReplyDelete
 2. Nimependa kila kitu kuanzia Bi harusi na arrangement zote.Nimegundua haikuwa na kilevi chochote lakini waalikwa mameenjoy.Baraka Nyingi katika maisha yako ya ndoa na mungu akubariki siku zote.

  ReplyDelete
 3. waaao, Dr.Alex Kimambo and ol organization term mlijipanga vizuri sana.
  na bibie hakuwaangusha,bonge la kivutio.
  selection ya mpiga picha ilikuwa makini.nimewapenda.
  I wish I could know them before, as my yon bro gonna get married on 14 feb.
  Lulu hongera sana.
  and ol the best in ur new life

  ReplyDelete