MWAMBI & THERESIA RECEPTION WEDDING!!!

Bride                     ::Theresia
Groom                  ::Mwambi
Event                    ::Wedding Reception
Venue                   ::Twiga Hall Sunset
Color                   ::Red, White, Black & Silver
Makeup                ::Maaznat
YES!!! NI SIKU YA WAPENDANAO KATI YA MWAMBI & THERESIA, NDOA YAO ILIFUNGWA SIKU YA VALENTINE HATA RANGI ZA HARUSI ZILIKWENDA SAMBASAMBA, MAHARUSI WALEPENDEZA SANA MWAMBI ALIMPA MKEWE ZAWADI YA VALENTINE, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI....

SUTI ZA WANAUME DESIGN BY MANI NYAMAKABABI
KANISANI...
MAHARUSI WAKIINGIA.......
GRACE & LILIAN DADA ZAKE BWANA HARUSI WAKIWAPOKEA...
MC KWAYU...
INTRO...////
VALENTIINE GIFT......, YES NI SIKU YA WAPENDANAO
BAADA YA INTRODUCTION BWANA HARUSI ALIMKABIDHI MKE WAKE ZAWADI YA VALENTINE....
DECOR...//
CAKE
WANAKAMATI WAKIPATA CAKE YAO
BURUDANI
DJ BABY AKIFANYA KAZI YAKE KWA UMAKINI YUKO JUU!!!
CHAKULA
ZAWADI
WAZAZI WAKIOA ZAWADI ZA KIMILA KWANZA....
                   DADA ZAKE BWANA HARUSI GRACE & LILIAN WAKIKOSHWA
NYUSO
RED CARPET
Post a Comment

5 Comments

 1. kama kawa kupendeza hongera sana

  ReplyDelete
 2. Big up Mwambi hongera sana

  ReplyDelete
 3. Nimeipenda sana hii harusi. Hongera sana mwambi na mkeo

  ReplyDelete
 4. Congrats Mwambi and your new wife for the marvellous wedding. Big up also to Grace, Nico, Lillian for the lovely ceremony. Such a joy to see people you grew up together with achieve so much in life. Iala ex-flatmate .

  ReplyDelete