NEEMA's KITCHEN PARTY!!!!!

Bride                              ::Neema Mgombelo
Event                              ::Kitchen Party
Venue                             ::Police Officers Mess

Color                             ::Purple, & Yellow
Makeup                ::Lavie’s Makeup
 NEEMA's KITCHEN PARTY, A.K.A NENEY, YES NDANI YA INDIAN SAREEE PENDEZA SANA.....

 NEEMA AKIINGIA
DECOR...
MAOMBI YA UPAKO
INTRO....
 AKAMTAMBULISHA MAMA YAKE KIPENZI
CAKE
 CHAMPAGNE
ZAWADI
WALIANZA WAZAZI KUMPA ZAWADI YA MANENO
 MWENYEKITI AKIKABIDHI ZAWADI ZAO KWENYE LUNINGA

WAZAZI WAKIKABIDHI KAPU
 MAMA AKIKABIDHI KAPU LAKE

NEEMA AKIMPA MAMA MZAZI ZAWADI YA MADINI
 CHAKULA
NYUSO
 MAMA NA MWANA
MUHESHIMIWA WAZIRI & MAMA KOVA
 SHERRY
JOYCE & MAMA
JOYCE & GETU BESTIES
JOYCE & MAMA's
MAMA MZAA CHEMA
MAMA KOVA & MAMA WMA
RED CARPET
WEDDING SELFIE


Post a Comment

5 Comments

  1. wamependeza sana bibi harusi na matron wake na waalikwa pia make ups zilikuwa on point, pia nimempenda mama yake bi harusi hasa hair do yake safi sana mama

    ReplyDelete
  2. Da Hellen nimekuona kwa mbali umeshika tama vipi dear? hope ulikuwa unawaza kama picha unazitendea haki!!!!, walipendeza sana kuanzia wenye harusi mpaka wageni ilikuwa simple but sure, Mungu awabariki sana kwenye safari yao ya maisha !!!

    ReplyDelete
  3. Make up ya bi harusi na matron ni nzuri mno

    ReplyDelete